Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Leo kakamatika badala ya kujibu tuhuma zake anaanza kumalizia wengne hasira akina linda na.chaga baby badala arekebishe mambo anatukana matusi wakati mwenyewe ana watoto ni shida hao.wanamsifia upuzi tu.wakienda kisheria ataumia
sisi kwetu tunasema ana wayawaya au anahabuka habuka tuuuu....!habu habu habu!!!!!