Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
Leo kakamatika badala ya kujibu tuhuma zake anaanza kumalizia wengne hasira akina linda na.chaga baby badala arekebishe mambo anatukana matusi wakati mwenyewe ana watoto ni shida hao.wanamsifia upuzi tu.wakienda kisheria ataumia

sisi kwetu tunasema ana wayawaya au anahabuka habuka tuuuu....!habu habu habu!!!!!
 
Attachments

  • 1405536919266.jpg
    1405536919266.jpg
    88.6 KB · Views: 296
Last edited by a moderator:
Hehehe Leo inaitwa kukamatwa red handed. Tuliambiwa juzi na Lara kwamba kuna surprise inakuja ya hollywoodshopaholic tukae mkao wa msuto....badala yake wao Ndio sura zimewaparama Leo kwa shushu..

hahaha kimenuka wapiii lara 1 njoo umtetee MBA mwenzio lol
 
Last edited by a moderator:
Anavyohangaika utafikiri hana mme bora we Natalia umetulia na mumeo mshauri huyo mwenzio

Kasema yeye ni mtafutaji kuanzia 2003 na miss indian ocean ingawa dady yake alikuwa ana mpa kila kity hata kwa hubby wake anaweza tu kukaa asifanye chochote mana ana kila kitu ila yeye ni mchakarikaji hawezi kutulia home
 
Last edited by a moderator:
Anavyohangaika utafikiri hana mme bora we Natalia umetulia na mumeo mshauri huyo mwenzio
Life is very simple but we human tend to be complicated.angeyamaliza na Huyo dada basi yaishe sasa Yaani oh my God it is very stressful.I have one principle in life " nimezaliwa bila kitu na nitakufa bila kitu". If your a compassion person success will follow you .Be nice usishindane na baraka za mtu mwingine .Hapa nilipo sina instagram tweeter wala Facebook nipo busy na family
 
Last edited by a moderator:
Mamaeer umepitwaa au ulikuwepoooo, mange mashauzi leo kasahau hadi kuweka picha ya hubby ake

hahaha nilikuwepo nashangaa unanichukia hata umbea unanibania una roho mbaya kama mange kantangazeeeee

hubby atasahauliwa hadi kitandani leo lol
 
Mamaeer umepitwaa au ulikuwepoooo, mange mashauzi leo kasahau hadi kuweka picha ya hubby ake

yaani yule mange sijui mangii mswahili balaaa yani hapo ndo kasoma arusha zambia na ud mama angu angesoma kayumba km mimi mbwa yule sijui angekuaje llllooolh na anavyoonyesha ni mshirikina balaaa halafu ana roho mbaya hatariii yani yule kule usa hakumfai ht kidogo aje tu kwa mfuga mbwa tusutane na vgodoro vyetu llooh!nyie misukule yake mwambieni hv MANGE WE MSUNGO HUNA SOMO WEWE....!
 
HAHAHAAAAAAA! We humjui mange! Kasoma Arusha, Zimbabwe, USA, UDSM, DUBAI, una lingine? We umesoma wapi?
 
Kasema yeye ni mtafutaji kuanzia 2003 na miss indian ocean ingawa dady yake alikuwa ana mpa kila kity hata kwa hubby wake anaweza tu kukaa asifanye chochote mana ana kila kitu ila yeye ni mchakarikaji hawezi kutulia home
His dad wa rich hilo halina ubishi! It is a known fact alikuwa top in town! Kabla hujamdiss ujiulize WHO WAS YOUR DAD AGAIN.?
 
HAHAHAAAAAAA! We humjui mange! Kasoma Arusha, Zimbabwe, USA, UDSM, DUBAI, una lingine? We umesoma wapi?

hapo ndo kasoma kote hapoooo...exposures kibao amexperience ndo mswahili vile na kaolewa hapooo...!ndo angesoma kama mie dsm kuanzia nursery mpaka juu ingekuaje tena shule za kata llloooh!mbona haendani elimu yake...m????!!!!wanamzidi ht wa hapa hpa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom