michambo ya kiinglish hapana chezea
Michambo ya kiinglishi hainogi kama michambo ya kiswahili natamani huyo mnaija angekuwa anajua kiswahili
kuna watu wamemmind mange kuiba kazi ya mtu na kuna wengine wamemmind mange kwakuwa anapata faida kubwa...kwa utafiti wangu mdogo waliomind sana ni wale ambao wameona mange anatengeneza faida kubwa!......
kuna watu wamemmind mange kuiba kazi ya mtu na kuna wengine wamemmind mange kwakuwa anapata faida kubwa...kwa utafiti wangu mdogo waliomind sana ni wale ambao wameona mange anatengeneza faida kubwa!......
Imeshafunguka tayari.
He he he badala ya kudeal na mnugu anadeal na wengine.
Yeye angemalizana naekimya kimya angemuelewesha kisha wangefanya biashara angerudisha feedback hapo angecheza kqmq pelle.
Asa na yeye anachambanq kama hao wengine.
Bella in mzalishaji mwenyewe zile vitu aliiba kweli
hahaha Mange leo kaipata na ye mwenyewe kesha admit kuwa kaanza kutumia bidhaa na kutoa ile trademark... angekua muwazi lakin ye akaminya kama yake. Silence sometimes mean NO labda yule dada alikua hataki kufanya biashara nae.. mashauzi clasic akaamua kuanza kufanya yake asifiwe......mtu ana MBA hapo ambayo it says a lot kuhusu business angekua kasoma community development si ingekua balaa....
halafu anasema hataki Shari mwezi huu ye alivyokuwa anamchambua kama karanga mume wa dida hakuyajua hayo yote. na anajichanganyaje sasa....
Mara oonh si deal na illegal immigrants hu deal na illegal immigrants halafu ushaandika page nzima kumuhusu.
HAJAJIPANGA WACHA WAMPANGE VIZURI.
Aisee wanaweke mna roho nyeusi mnapoona mwenzenu anafanikiwa acheni roho mbaya na wivu alaa
hakuna mwenye roho mbaya kama mange ndo mana watu wanafurahi ye anajiona dtop ndo maaana humjui yule wewe mshenzk km nin yule mi nlikua nampenda sana ila baada ya sintah kufungua duka akamchamba eti kakopa daaah!simpendi hata kidogo nshamuona anataka awe juu yeye!
Mange kakanaza kumtukana tu linda mara Leyla mtoyo wa lb ryi ampe ajira akachukue hayo mawigi. Looooo angekuwa kisomi kidogo kwanza kumalizana na tribella afu waweke sawa.
Ndo aanze mitusi yake
Hata Kama wangekubaliana still kufuta water mark ni kosa kubwa. Alipaswa apige product alizouziwa kivyake vyake. Ukitumia za Bella basi weka na watermarkTatizo ni moja tu kimbelembele tu.
Umetuma email hujajibiwa haimaanishi umekubaliwa.
Mpaka kuchukua picha za bell na kuzitangaza kwa ig yake wakati hujajibiwa.Na hamna makubaliano.
Kinachomponza ni hiko tu mchecheto.
Baada ya kina lb kuweka mapost ye angemtafuta mnugu angemuelewesha naimani wangeelewana tu maana na yeye ndo hapo angepata kazi nyingi na si kuanza kuchamba watu.Hajaitendea haki hiyo masters yake.
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.
Halooo ya international business woman anaekopi vya wait an kufuta logo heheheh
Hata Kama wangekubaliana still kufuta water mark ni kosa kubwa. Alipaswa apige product alizouziwa kivyake vyake. Ukitumia za Bella basi weka na watermark
Hata Kama wangekubaliana still kufuta water mark ni kosa kubwa. Alipaswa apige product alizouziwa kivyake vyake. Ukitumia za Bella basi weka na watermark
Binamu huyo ndo anajifunza umbea bhana, nenda nae taratibu atazoea tu si unajua tena humu ndo habar ya mujini