Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
hana lolote yule mwanga tu na kwa mganga wake mi hajaniroga alinipoteza siku alipomuambia sintah kakopa na kuongelea ugomvi wa shamim na mboni nkajua ana roho mbaya na hapendi watu wamzidi nkaajaua hanifai na wala hafai kua mfano

Nilimdharau sana siku alipomtukana Ezden kwenye blog yake infavor of Dida, maneno aloyaandika hayakustahili kuandikwa na mama wa familia tena mke wa mtu, kwa tunaomfahamu Ezden tokea Kiss Fm Mwanza, kaja Dsm kaingia Times Fm na bado kuonesha jinsi gani ni mchapa kazi na anakiu ya mafanikio kaingia TV1.

Licha ya kuwa employee katika izo media firms bado iyo ilikua haimtoshi utamkuta kwenye uMC matamashani na pia studio coz pia ni Raper.

Jamani mpaji ni Mungu, juhudi tunaziona na hata kama Dida alikua na kipato kikubwa zaidi basi si sahihi kumtukana Ezden ni mtu wa kula kulala kuamka na kuoga (KKKK)...Eti Marioo, aliudhi sana.
 

Nna kipili pili changu natural nimeridhikaaaaa, nywele za marehemu za nini? Nywele zenyewe ndo hizo zinagombaniwa.
 
Last edited by a moderator:

Heheeiya unauliza halafu unajijibu mwenyewe..................

kama unadhan hatuwezi kununua unauliza ili iweje?????????????
 

Hehehe mshari km ----- wa kuingia mkononi na kuwasha mwili mzima
 
Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni

Kumbe naye anaishi huko kwa Obama? Nilidhani yupo hapa bongo.
 

Kwenye ile topic ndo unajua jinsi gani Mange yupo after money kuna watu walimuuliza je mumewe itokee bahati mbaya hana hela halafu yeye anahela atamkimbia? Hakujibu
 
Kwenye ile topic ndo unajua jinsi gani Mange yupo after money kuna watu walimuuliza je mumewe itokee bahati mbaya hana hela halafu yeye anahela atamkimbia? Hakujibu

Muacheni jamani mama shipping cost aka mama madolali, anakwambia watu wanamuonea wivu na biashara yake, yani anavyo post uko insta unaona kabisa jinsi mapovu yalivyomtoka, yani insta yangu imejaa post za mange tu mmh, leo analo na wabongo leo watamkeshea na vigodor, mange kama namuona anavyotaman aje bongo kuchambana vizur
 
Heheeiya unauliza halafu unajijibu mwenyewe..................

kama unadhan hatuwezi kununua unauliza ili iweje?????????????

Chezea mama shipping cost wewe aka mama madolali, maana siku izi mange alikuwa aongei sana yeye ni SHIPPING COST na USD$ ,madai mwenyew yupo kibiashara zaidi hatak umbea tena, kumbe majanga na leo wamemkomesha ila yule ni kiboko utakuta yupo mkavu
 
That woman abegooooo...naona BADILI TABIA ni mmoja wa Vijana walotumwa kumtetea kimambi...hehehe mniger hawez lost kwa kukosa order za mange na misukule yake trust me
 
Last edited by a moderator:

Mie nlishazitamani nkasubiri zifike tu nimwagize mtu nikachukue.
 
Last edited by a moderator:
That woman abegooooo...naona BADILI TABIA ni mmoja wa Vijana walotumwa kumtetea kimambi...hehehe mniger hawez lost kwa kukosa order za mange na misukule yake trust me

Hujamwelewa BADILI TABIA .
He he mie nacheka wabongo wanatukana kiswahili kwa mnaijeria kweli watu misukule.
Leo mange sijui kama ametulia
 
Last edited by a moderator:

Binamu umeshapata na aka we mtata
 

Heheheheh

Ila somehow hata mnugu nae ana matatizo.....

Kama alitumiwa email angemalizana nae na kumwamuru aposti ig kusema hatochukua kwake.......

Na muke ya muzungu amepanic bure ingawa panic yake imetokana na vijemve alivyopigwa na linda na mwanae na chagabibi
 
Last edited by a moderator:
That woman abegooooo...naona BADILI TABIA ni mmoja wa Vijana walotumwa kumtetea kimambi...hehehe mniger hawez lost kwa kukosa order za mange na misukule yake trust me

We mwana nitake radhi.....nitumwe mie jini
Mie nimefikiria kwa pande zote mbili, ukiangalia kibiashara mnugu(spelling) nae angenufaika kwa kupanua soko.... na mange angenufaika pia...

Ila kwa sasa baada ya timbwili mnugu wadau washamjua watamtumia... kimbembe nywele zitatoka wapi canada au china...

Napita mie
 
Last edited by a moderator:
Nii kununua ndugu yangu.... hata kuvaa wigi sijawahi....

Humu mitandaoni naongeza siku za kuishi tu...



 
Last edited by a moderator:
Kakomeshwaaaaaaaaa hua anajifanya kila kitu anajuaaa si atafute kazi afanye ya maofisiniii kakomeshwajeeeeee

Halaf Mrembo by Nature mbona hujaniitaaa yaan! !!!!!
 
Last edited by a moderator:
lb apparel
poa asante mi mange nlikua namkubali jamani asubuh naamkia kwake ila dah!alivyomzodoaga shamim na kila sku maugomvi na watu baaas,nashukuru mungu leo kapata mjanja wake safi saaaana wamempanga!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…