Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
hana lolote yule mwanga tu na kwa mganga wake mi hajaniroga alinipoteza siku alipomuambia sintah kakopa na kuongelea ugomvi wa shamim na mboni nkajua ana roho mbaya na hapendi watu wamzidi nkaajaua hanifai na wala hafai kua mfano
Nilimdharau sana siku alipomtukana Ezden kwenye blog yake infavor of Dida, maneno aloyaandika hayakustahili kuandikwa na mama wa familia tena mke wa mtu, kwa tunaomfahamu Ezden tokea Kiss Fm Mwanza, kaja Dsm kaingia Times Fm na bado kuonesha jinsi gani ni mchapa kazi na anakiu ya mafanikio kaingia TV1.
Licha ya kuwa employee katika izo media firms bado iyo ilikua haimtoshi utamkuta kwenye uMC matamashani na pia studio coz pia ni Raper.
Jamani mpaji ni Mungu, juhudi tunaziona na hata kama Dida alikua na kipato kikubwa zaidi basi si sahihi kumtukana Ezden ni mtu wa kula kulala kuamka na kuoga (KKKK)...Eti Marioo, aliudhi sana.