Mange asutwa live

Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Bi dada huyu amekuwa akiposti bidhaa zake anazodai anaziproduce yeye na kuziwekea price tag za madolare ya maana. Kumbe bwana sio bidhaa zake, bidhaa hizo ni za trebellawigs.

Amekamatwa live na ameshtakiwa insta na product alizoiba zimeondolewa na insta admn. Anachofanya ni kuchukua picha ya product na kufuta trademark ya Bela na kuweka hiyo ya hollywood sijui holic kwenye bidhaa za watu.

Pia mwenye trademark anasema price ni zaidi ya mara 300 ya bei halali. Shoga kachambweje na mwenye product zake? yani kichambo live.

Kukipambazuka ntaweka picha. Amezoea kuonea wabongo kwa kuwachamba kwa blog ila kwa huyu nadhani ni mniger kanywea. Akina Linda na chagga bebi wamecommentije vichambo?

Hivi ukicopy si una acknowledge source jamani? Hiyo MBA anayojitapa nayo ndio walifundishwa kuiba kazi za wengine? Kukopi kupo ila omba then acknowledge.

Bei za wigi uliweka dola 500 kumbe bei halali kwa mwenye Mali in dola 100 biashara ndio ishadoda hiyo. Watu wananunua kwa Bella direct.

Mytake: nilishasema Mange hana hizo standard anazolazimisha tuamini anazo. Kwa hili ni wazi kwamba bado ni mmachinga tu. Unaanzaje kuiba kazi za watu then u claim to be international?

Daku njema
 
Dili limevurugwa name mwenye trademark kabla halijatick. Wabongo wamevamia profile ya mwenye mali full viswanglish. He he he wanijeria full kuchamba

Hahahahaaa!! noma sana!
si ndo huyu anaeishi beverly hills ama nimekosea?

mange_udaku1.jpg
 
Dili limevurugwa name mwenye trademark kabla halijatick. Wabongo wamevamia profile ya mwenye mali full viswanglish. He he he wanijeria full kuchamba

Hivi ni nani alimtonya mwenye mali halisi ama kweli bora kufanya kitu kwa uwezo wako sasa unafanya uonekane uko juu kumbe loh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom