Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
-
- #41
Nani kasema kwani wanaochambwa na mange s walimchokoza wenyeweMange kwa uchambuzi sio mbaya sema anaroho mbaya yule mbinafsi hatarii akifanikiwa tuu ni adui yaani watu wote aliowatukana wako mbali kimaisha hiyo ndo shida ya madam matonya tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka waone video zari anapiga ukunga na kurusha rusha miguu kama mnyakyusa
Wivu tuMange ni mpare mmoja anaishi kwa usa akili zake ameinvest insta kwasababu pesa Za kula anapewa na baba watoto wake...yule ukimfatilia sanasana utajifunza chuki zakipuuzi tu Hamna mtu pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Humjui yule mpareHapana hajawahi msema mtu bila kumchomoza ,hata huyo Zari ndo alimuanza Mange kupitia maadui wa Mange
Utakuwa mgeni jf ....huyo dogo mbona kitambo tu anajulikanaMwana haupo mbali, na mm nilikua najiuliza ivyo ivyo kama ni Me bas kuna tatizo sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lako mwenyew halituusu jiranDuh..alfu usikute ww jamaa unajiita mwanaume
Ghadhabu zikizidi nitafune ili roho yako itulieMnapoteza muda bure ku comment wakati huyo mwenzetu angefurahi sana kama kila Mtu ange comment "shoga umenena"
Ulimuamini aliposema kwa mbwembwe kuwa Hoyce Temu kafukuzwa kazi??!! Kumbe mdada wa watu bado muajiriwa wa UN!Team Mange hapa damu damu kitu chochote lazima aseme Mange ndo ntaamini.
Hapa Tz hakuna mtu anayeweza pambana na team domo chapati akabaki salama lakini Mange anawakimbiza na kwenda nao sambamba
Hahaha wanyaki bhana [emoji23] [emoji23] nimejaribu kuvuta picha nimejikuta sina mbavuWalitaka waone video zari anapiga ukunga na kurusha rusha miguu kama mnyakyusa
Eehh zari alimchokoza wap?? Diamond veepe? Maana yule mpare anajifanyaga anajua watu kuliko wanavojijua
Hallow hallow hallow.....nimeweka na kidole juu.
Dem kashika Simu ya jamaaMie nimebaki njia panda, mwandishi ni Mwanaume au mwanamke!!? Maana Jina na picha ni vya Mwanaume ila uandishi umekaa kimwanamke... Anyway hayanihusu maana hata DAB mule mule
Sent using Jamii Forums mobile app
ikinoga ujitie kidole kbsHallow hallow hallow.....nimeweka na kidole juu.