Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
- #41
Nani kasema kwani wanaochambwa na mange s walimchokoza wenyeweMange kwa uchambuzi sio mbaya sema anaroho mbaya yule mbinafsi hatarii akifanikiwa tuu ni adui yaani watu wote aliowatukana wako mbali kimaisha hiyo ndo shida ya madam matonya tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app