Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Wakuu nimepitia blog yake kwa ustadi wa hali ya juu, sasa nasema huyu dada ni wa kuonewa huruma tu hajui atendalo. Inaonekana anastress sana za dunia, labda ameshawahi tendwa vibaya sana huko nyuma. Kama sivyo basi anamtindio wa ubongo, usiopona. We mtu anataka ubunge kwa tiketi ya CCM huku kwenye blog yake page ya tatu ameiponda sana CCM na system nzima. Na hadi analaumu wananchi wamejitakia shida wenyewe na kuwakumbusha huu ndo mwaka wa mabadiliko. CCM gani wamchague,,?
 

Tena hapo amefuta baadhi ya post na kuedit.
 
Aliosema kuwa ukiwa ccm ni kuunga mkono mafisadi ni nani?? Kama ni hivo mbona mnachukia ufisadi lakini magufuli mumemkubali! Akili zingine bwana
 
nafikiri akitoka huko atakuwa na adabu alizidi kuchafua watu
 
Amerudi kupigania nafasi ya baba yake maana mada zake nyingi una anadai kikwete alimnyanganya tonge mkononi dady ake kabla ajafa japo hata baba ake uwa cmjui
 
hahaaa mchuma janga..
hula na wa kwao bibieee....
hata mie wanifunge tu..!!!nkidhalilisha mtu au watu huoni siku hizi nnavyomkubali wema kiaina...

Borq ubadilike kwa uzuri... Mabadiliko ndio njia pekee manake ndio option tu. Usalama wamerudi kazini kutoka likizo. Jamaa mmoja facebook ameshakamatwa tena with fake name.
 

we acha tu mi sina hamu na huyu dada yaani
mi nimefurahi yani MUNGU analipa hapa hapa duniani
 
Ha ha ha ampitie tena???mwenzio mwl wa mbuyuni huyo ma first lady wanapotokea ndo maana anajishaua.

muambie huyoo
tena hicho kimange ntakirukisha kichura chura hadi kwa mama ake manzese....
staki upumbavu
 
yaani mimi sijui kwann binadamu haturidhiki. sasa kama huyu dada anaishi zake majuu na mume mwenye nazo na anayempenda according to yeye na pia mume ana kazi na mkwanja mrefu, huu ubunge anahangaika nao wa nn na familia yake itakuwaje? au ndo kuwa mbunge wa bongo/US?
 
Borq ubadilike kwa uzuri... Mabadiliko ndio njia pekee manake ndio option tu. Usalama wamerudi kazini kutoka likizo. Jamaa mmoja facebook ameshakamatwa tena with fake name.

duuhhh...!!bora umenshtua mie nataka niwe mpe siku hizi kwa kweli
 
Kwa kesi hizi najua masharti mojawapo hatatakiwa kuondoka mpaka amalize kesi.akikimbia mtoto wa mvungi analo

Wanaleta ushabiki tu
Huyo mtoto wa mvungi anajiona star sijui kawin kumuweka dhamana we ngoja akimbie ili akalale yeye ndani ukute hata sio marafiki ila kujipendekeza tu
 
Wanaleta ushabiki tu
Huyo mtoto wa mvungi anajiona star sijui kawin kumuweka dhamana we ngoja akimbie ili akalale yeye ndani ukute hata sio marafiki ila kujipendekeza tu

Hamjui mwenzie hana rafiki wa kidumu!
Ngoja siku maruhani ya mange yacharuke atachambwaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…