sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Wakuu nimepitia blog yake kwa ustadi wa hali ya juu, sasa nasema huyu dada ni wa kuonewa huruma tu hajui atendalo. Inaonekana anastress sana za dunia, labda ameshawahi tendwa vibaya sana huko nyuma. Kama sivyo basi anamtindio wa ubongo, usiopona. We mtu anataka ubunge kwa tiketi ya CCM huku kwenye blog yake page ya tatu ameiponda sana CCM na system nzima. Na hadi analaumu wananchi wamejitakia shida wenyewe na kuwakumbusha huu ndo mwaka wa mabadiliko. CCM gani wamchague,,?