Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Ha ha haaaa danh afie mikononi mwa watu tena. . . . .??!!!
Cha muhimu ni somo litalobaki . . . .Watu kuwa responsibke na matendo na maneno yao. . .

Watu watasahau......ni kweli inshu ya madawa inaumiza sana.Lakin inategemea unaiaddress vp hyo inshu,Lakin huyu bidada anajulisha tu kuwa ana cha ziada kwa hao anaowaongelea.
Jamani naenda kupalilia pilau langu ha ha ha
 
Mbna wauza sembe mpka mkuu anawajua huyo anawivu tu kazidiwa maendeleo n mwenzake.....kwanini amtaje tu abdul wakati kuna madon hpo dar zaidi ya 10,inaonekana kanashida nyingi sana n maisha yke ni fake 2 wakamwagie acid 2
 
hata akoge vipi na marashi kujimiminia bungeni haendiiiiiii!!!!
Mumewe kamshindwa kamtoa nduki anakuja kuficha aibu kwa gia ya ubunge na uharakati!

Itakua zile harakati zake z dubai
 
Watu watasahau......ni kweli inshu ya madawa inaumiza sana.Lakin inategemea unaiaddress vp hyo inshu,Lakin huyu bidada anajulisha tu kuwa ana cha ziada kwa hao anaowaongelea.
Jamani naenda kupalilia pilau langu ha ha ha

Palilia basmat bhana ndio habari ya leo. . . . hope alijua anachofanya tangu day one na kajiandaa na ndio maana labda kakazia baada ya kutoka
 
mwanaume una chuki na mwanamke kiasi hiki sio bure, itakuwa mligombea naye bwana!

Mbna wauza sembe mpka mkuu anawajua huyo anawivu tu kazidiwa maendeleo n mwenzake.....kwanini amtaje tu abdul wakati kuna madon hpo dar zaidi ya 10,inaonekana kanashida nyingi sana n maisha yke ni fake 2 wakamwagie acid 2
 
Mbna wauza sembe mpka mkuu anawajua huyo anawivu tu kazidiwa maendeleo n mwenzake.....kwanini amtaje tu abdul wakati kuna madon hpo dar zaidi ya 10,inaonekana kanashida nyingi sana n maisha yke ni fake 2 wakamwagie acid 2

Kama anawajua awataje pamoja na ushahidi mambo ya kufikirika hatuyataki
Alidhani kawin kuolewa na mzungu maisha yatamnyookea bosslady angekuwa yeye kabugi anatafuta pakupunguzia stress zake
 
Atleast she should learn that hurting people isn't good, And the subject will change to get what she wanted (atakatwaa tuu)!
 
go go go Mange tunataka wabunge wasio waoga kama nyinyi, "the Ester Bullaya likes" !
 
Mwisho wa siku imekaa kimaslahi zaidi, maana anajua hawezi shinda ila mshiko atakuwa amechangiwa wa kutosha.
 
Dah hongera zako Mungu akulinde na kukufanikisha azma ya moyo wako aisee. I do believe utaupata tu wewe jembe la nguvu. nifah njo mu wish jembe letu la nguvu kwenye ubunge.

Ooh nilichelewa kuona hii.Kila la kheri mpenzi geniveros. ..ukifanikiwa utukumbuke wenzio kwenye ufalme wako
Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Ila hebu someni vzr anayoandika Mange, hatukani matusi bali ni anatoa ukweli mchungu kama ulivyo bila kificho ambao binadamu hatuwezi kukubaliana nao
Watu na mahaba yenu kwani unadhani hata kama anakosa mtaona? Wala hamuwezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…