Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Yap bad timing....

Keshawavuruga mashosti wote...

Kamnyambua makamba kingunge na lowasa...tena daily

Halafu karudi....

Tamaa ya ubunge... angenyuti kama miaka 2-3 watu maumivu yapungue

Alikuwa anavurumishia watu mitusi akiwa huko US?
 
Wanaleta ushabiki tu
Huyo mtoto wa mvungi anajiona star sijui kawin kumuweka dhamana we ngoja akimbie ili akalale yeye ndani ukute hata sio marafiki ila kujipendekeza tu

Mvungi yupi? Yule Dr wa Kino au Yule aliyeuliwa wa NCCR? Kwenye Hiyo picha ni Joyce Kiria ?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mange kweli ni kichaa, Anagombea ubunge wa Kinondoni..Ameanza kampeni kwa kumtukana mbunge wa Kinondoni kuwa anauza madawa ya kulevya.. Hivi hajui huyo ni mwanaCCM mwenzake, Huyu mtu akapimwe akili
 
Yep she is back to her old vindictive ways, more like a suicidal mission....i quote her IG post her release ---


Sorry mtu alifuta posti yangu, eti nisiandike, mfyuuu. Hi friends, im out and well. Leo nimejua nnapendwa sana na familia yangu, rafiki zangu pamoja na fans wangu.The system is corrupt. The whole thing was masterminded by dogo Jembe. Nimepigwa marufuku kuwasema viongozi, uwiii wao wanaita kuwatukana. Yani next time watanipoteza kabisaaaaa...... walikosa kabisa sheria ya kunishtaki nayo so somehow wakampata Mbonie Masimba kuja kuandika mashtaka ya uongo mtupu, eti Mbonie kanishtaki kuwa nilimtukana kuwa yeye ni malaya na anaf**** eesh hivi yule kadata? So balaa lote like nililopata eti kesi ni kumtukana a complete irrelevant nobody.... in short kuna dogo jembe wamecheza mchezo then wakawa wanatafuta sasa watu wa kunifungulia kesi kila mtu akala kona. Jamani let me tell you this, wamefanya kutia mafuta kwenye moto now that nimejua ile blog ina impack kubwa hivi mpaka serikali inahangaika na mimi uwiii ndo ntakuwa natapika daily!!!!! Mr,Sembe aint shit, sasa hivi ndo anatafutwa na polisi sijui kala kona ya wapi... imagine eti waliweka ile kesi pending. Yani inshort walitaka kunitingisha mpaka niogope niache kuwaandika viongozi. Na naambiwa kabisa andika hao wenzio viongozi usiwaguse.
 
Amehaidi wapi?
Naona anatafuta pa kufia.Angebaki US tu.
Jana niliona repost kwa mtu, alivotoka akiwa na joyce kiria....kasema hii nchi ni corrupt sana anashukuru walomuekea dhamana na anaahidi ataongea mara elf 5 zaidi ya sasa
 
Huyu Mange kweli ni kichaa, Anagombea ubunge wa Kinondoni..Ameanza kampeni kwa kumtukana mbunge wa Kinondoni kuwa anauza madawa ya kulevya.. Hivi hajui huyo ni mwanaCCM mwenzake, Huyu mtu akapimwe akili

Hv ww mbona Mange anakuuma hvyo, au na wewe ni muhanga? Yani mwanzo mwisho umekakamaaa mwenyeweee..... relax life is too short kuweka hasira kwa vitu ambavyo havikufaidishi kimaendeleo. Kama you dnt care abt Mange mbona unafatilia each and everything anachofanya, so what? Wangapi wametia nia does it mean wamepitishwa? Hao waliompa form wangeona hafai wasingempa sasa nyie waja( in geah"s habib voice) mmekakamaa kama mnachomwa sindano ya tako vile......
 
Najaribu kumuelewa huyu dada haswa baada ya kuandika (kama kweli) huo ujumbe baada ya kutoka sero. . . . . kuna kitu anasimamia yawezekana ana mapungufu yake lakini kuna anachosimamia

Yes anadai anamjua muuza unga m1 ambaye ni mume wa adui yake.
Tatizo haendi mshitaki wala kutoa ushahidi lakini kila siku akikwaruzana na adui yake anamtukanaa huyo mwanamke then anahamia kwa mume mtu na kudai anamaliza vijana kwa kuuza sembe.
siku adui yake katangaza lipstick ambazo nayeye anauza maana wote wafanyabiashara, anamchambuaa matusi na kashfa tena ahamia kwa mume wake anauza sembe hadi watoto.
Jee huu ni uharakati??
 
Kuongea ukweli ni sawa kabisa lakini kutukana watu sio sawa,yeye kweli akemee tu ufisadi na hayo madawa ya kulevya bt kuongea personal issue za watu kwenye blog yake hapana anaumiza sana familia za watu,hata watoto wake wakikua wakiona mama yao alivyokuwa anatukana watu watajisikia vibaya
 
Back
Top Bottom