whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Dear, nilikujibu kule kwenye ile mada ingine uliponiuliza nikaribie nini? Uliiona post angu?mange siku zake zinahesabika
umeshindwa kukopi na kupaste alichikiandikaa??Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
nani..mange au MPAlikuwa demu wngu kipindi tuko o level
nani..mange au MP
Mbona mwoga weka alichosema tuone nasisi sasa unakuja nusu nusu.Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya