Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
umeshindwa kukopi na kupaste alichikiandikaa??
 
upload_2016-9-8_15-12-53.png
 
Mwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
 
Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
Mbona mwoga weka alichosema tuone nasisi sasa unakuja nusu nusu.
 
Back
Top Bottom