Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Alivyolala ndani last time nilidhani kajifunza......

Halafu ana matusiiiiiiiiiiii kuita wenzie mbwa ni mwepesi kweli kweli

Labda mwisho wake unakuja...maana siku hizi anekuwa too much

Heri angeendelea kujikita na kuposti ubuyu tu
Jamani anaeweza kumuonya yule mtoto wa kike amounye, anakokwenda si kuzuri hata kidogo, hivi hajui kuwa rais Magufuli anaweza kuwasiliana na Interpol, FBI au CIA na akahojiwa?
 
Kule ninaingia kama nyumba ya mama mkwe, kwa adabu na heshima na siachi comment zaidi ya kusoma, yule ni chizi maarifa, unaweza kumsifia pia akafikiri unamchora😀
kumbe tuko wengi unafika unatoa MACHO then kama ya leo nikatupiamo na like fyuuuuu nikasepa sasa nimekutana nayo huku ila hata huku unaweza ukatia nyama ukaokotwa pia
 
Rafiki nawe umelikoroga maana Le Mutuz atakushukia atadhani Makonda ndiye mwanaume ila yeye mh! - utani
Wewe unaingiza maneno ambayo sijayasema, rafiki unanichimbia kaburi, hujui kuwa mimi ndiye mchumba mtarajiwa wa Le Mutuz😛😛
 
Kule ninaingia kama nyumba ya mama mkwe, kwa adabu na heshima na siachi comment zaidi ya kusoma, yule ni chizi maarifa, unaweza kumsifia pia akafikiri unamchora😀
Hhahahaha

Hachelewi kukurusha akakuchaaaaaaambaaaaaaa

Mie kule naingia na fekero.... nasoma nashangaa nasepa
 
Japo kuwa huwa anahoja za msingi, Sema hajui kuzitetea hoja kwa hoja, yeye anadili na Kila kitu mpaka Maisha binafsi ya mtu
 
Mwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Hizi personal attack za Mange kwa Paul ni sababu za kisiasa au kuna mengine?
Nadhani Mange ni smart kuliko tunavyomchukulia, kuna kila dalili anatafuta status ya mkimbizi wa kisiasa marekani baada ya mume wake kumkalia kooni.
 
Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…