Mh hata kama, anatengeneza maadui kila coner? Hata kama ni viongozi wa kisiasa lakini kuna lugha ya kufikisha ujumbe.Nadhani Mange ni smart kuliko tunavyomchukulia, kuna kila dalili anatafuta status ya mkimbizi wa kisiasa marekani baada ya mume wake kumkalia kooni.
Hivi unakumbuka yule bongo movie alipata mimba ikasemekana ni ya 'kigogo' na ile mimba ilitoka katika mazingira ya kutatanisha. Mjini patamu na ubuyu ndiyo unaongeza ladha😛😛😛Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?
Hivi huyu bibie wazazi wake hapa bongo wana cheo gani au walikuwa akina nani.
Mboyoyo mingi mingi,sijui nini nini...wiki hii viongozi wa ccm ngazi za juu wanapitia kipindi kigumu sana kule zitto na uchumi huku mbowe na bandari ukija kule mange na kujiuzulu kwa makamu da shida tupu.
Nani huyo Kajala ama?Hivi unakumbuka yule bongo movie alipata mimba ikasemekana ni ya 'kigogo' na ile mimba ilitoka katika mazingira ya kutatanisha. Mjini patamu na ubuyu ndiyo unaongeza ladha😛😛😛
Faq ds byatch....[emoji125]
Ni yeye huyo, ile ya Kajala na the then mkuu wa wilaya hata mimi nilikuwa ninaishangaa, ilikuwa open mnoo na wabongo movie walikuwa wanamuita 'shemeji openley'. Jamani ndoa ni ngumu sana.Nani huyo Kajala ama?
Hao hapo tayar wamelipa [emoji116] [emoji116]Mboyoyo mingi mingi,sijui nini nini...
All in all gvt inaimba Dont bother....
Hivi Dj kashalipa deni....
Dj si mmoja tu...amelipa au bado...Hao hapo tayar wamelipa [emoji116] [emoji116]
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, alisema pamoja na Bilicanas, shirika linazidai taasisi za umma, binafsi na watu binafsi jumla ya Sh. bilioni 15.
Notisi ya siku 60 ya kuondoka Bilicanas pamoja na majengo ya wadaiwa wengine ilishatolewa, Mchechu alisema na kwamba sasa zimesalia wiki tatu.
Alisema baada ya muda huo kumalizika, utekelezaji wa kuondolewa katika majengo hayo utaanza ukiambatana na uchukuaji wa hatua za kisheria.
Mchechu alisema mbali ya Bilicanas, wadaiwa wengine ni Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi inayodaiwa Sh. bilioni mbili, Benki ya Azania (Sh. milioni 161) na Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa (Sh. milioni 631).
Wadaiwa wengine walitajwa kuwa ni Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Sh. bilioni 1.3), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sh. bilioni mbili), Tume ya Utumishi (Sh. milioni 109) na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Sh. bilioni moja.
hahaha sikuhizi kawageuka anawatukana sanaTena mwanaccm huyu
Dj si mmoja tu...amelipa au bado...
Stori mingi mingi...[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vjna wa Tz kwa keyboard War..Hapa ni lazim ujikeshe kwa aibu hao vipi kwanza au mnakimbizana na vinvuli vyenu siasa bana dj kawadaka kinoma had bifu limehamia kwenye makaz si umeona hao kodi wanazodaiwa au kama kawaida utaendelea kujichekesha [emoji116] [emoji116]
Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi inayodaiwa Sh. bilioni mbili, Benki ya Azania (Sh. milioni 161) na Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa (Sh. milioni 631).
Wadaiwa wengine walitajwa kuwa ni Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Sh. bilioni 1.3), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sh. bilioni mbili), Tume ya Utumishi (Sh. milioni 109) na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Sh. bilioni moja.