jogoo mtata
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 159
- 160
Mkuu ipo kwenye bio Yake IGMwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ipo kwenye bio Yake IGMwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Alikuwa demu wngu kipindi tuko o level
Nenda kwenye page yake ujieleze kama kweli unayosema hapa atakuelewa na atakupatia tu hio nambaMwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Hata kama mpaka akapandikize so what????????????
Dah! Aisee labda Mange angefunguka ni jambo gani alilokosewa na huyu kaka?? Mana kama ni issue za Utendaji mbona angeliongelea kwa fact tu na kutoa mawazo yake kwamba iweje au afanye nini na alichofanya si sawa yani angetoa ushauri kama afanyavyo baadhi ya posti, Lakin kumchambua mtu kwa mambo binafsi inakuwa ngumu jamii kumuelewa au labda baadae atakuja kufunguka nini kilimpelekea kufanya hivyo. DAH!!!!
Mange amshukia Makonda kama mwewe.
Ninahisi ukaribu wa Paul na Le Mutuz unampoza, lile bifu la Mange na Le Mutuz halijaisha. Ameamua kugombana na wanaume sasa😳😳Me nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.