Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Kule ninaingia kama nyumba ya mama mkwe, kwa adabu na heshima na siachi comment zaidi ya kusoma, yule ni chizi maarifa, unaweza kumsifia pia akafikiri unamchora😀
hahahaha. we ni kama mimi..nyumba ya mama mkwe aisee. ukisifia unachambwa ukiponda unachambwa kwaiyo bora kuufyata na kuwa mpenzi msikilizaji tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwishowe tutamkufuru MUNGU bure. Natoka kwenye huu uzi na sirudi tena maana naona nafanya makosa.

Na~imagine maumivu ya kutopata mtoto, To be honest siyo vema kushadadia hili suala.

Ila chuki zinazopandikizwa na serikali hii, kujifanya, unafiki, kutukana watu wasio na hatia hadi kuwauliwa watu baba yao mbele ya Magufuli. yaani mtu akisimama anajiona yupo top of everything, vimenichosha

Naona nausaliti moyo wangu kumwone huruma huyu jamaa yenu. MUNGU anisamehe kwa hili hata nikijifanya siwezi.
 
Kumbe ndio maana jamaa ameamua kutufuata hadi guest wakati wengine ndio sehemu tunazotafutia watoto kumbe ni wivu tu unamsumbua [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Anatafuta attention.. Ni vyema wanavyompuuza. Na Makonda wala usimpe kichwa kumtaja popote.
Kama ni attention anaipata sana, angalia la kusema makamu anataka kujiuzuru mpaka ofisi ya imekanusha
 
Hivi mnayemshambulia Mange , vipi kuhusu Lemutuz? maana matusi aliyomtukana marehem baba Mange si ya kiungwana kabisa , yaani kavuka mpaka , bora amtukane Mange mwenyewe.....kwahiyo kama polisi wanamtafuta wasimsahau lemutuz maana nae ndo partner wake kwenye mitusi
 
Mwishowe tutamkufuru MUNGU bure. Natoka kwenye huu uzi na sirudi tena maana naona nafanya makosa.

Na~imagine maumivu ya kutopata mtoto, To be honest siyo vema kushadadia hili suala.

Ila chuki zinazopandikizwa na serikali hii, kujifanya, unafiki, kutukana watu wasio na hatia hadi kuwauliwa watu baba yao mbele ya Magufuli. yaani mtu akisimama anajiona yupo top of everything, vimenichosha

Naona nausaliti moyo wangu kumwone huruma huyu jamaa yenu. MUNGU anisamehe kwa hili hata nikijifanya siwezi.
naanza kuipata picha ya tatizo
 
Mzee Wa mabebez amempasua vibaya mange Leo kwa kuweka historia iliyomkuta mzee J4 Kimambi ya kuliwa kiboga mpaka kujiua lakini kubwa fundisho ni marehehemu J4 kupenda sana wake za watu haswa alipoingia choose cha like kwa kumpenda mtoto Wa kihangaza Wa nssf kigoma aliyekula deal na mumewe Ruhuza according to le mutuz nation wamzibue nnyaa baba mange
 
kati ya wao na wewe unae mjadili huku nani zoba?
Nadhani zoba ni wewe unaeuliza maswali utafikiri umekatika kichwa,lazima ajadiliwe kwani unaona anayofanya ni sahihi?embu nitolee shombo hapa hata ukija na ID 100 tunakujua tu mxiuuuu
 
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu
mkuu ni rahisi sana, watafungua holding charge hapa dsm, halafu wanapitishia attorney general then foreign affairs atakaopeleka ombi la usaidizi wa uchunguzi au extradition kwa ubalozi wetu ulioko marekani, ubalozi wetu utawakilisha lile ombi kwa foreign affairs wa marekani atakayepeleka kwa attorney general wao, na kesi itafunguliwa kule kuamua kama kuna kesi ya msingi kumleta tz au la, kuwepo kwa kesi ya msingi au la kutatokana na hati ya shitaka itakayokuwa imeambatanishwa kwenye maombi pamoja na ushahidi ambao ni incrimination kufanya kuwepo kwa kesi ya msingi. mahakama ndio ita toa uamuzi kama aletwe au la.

usichukulie kama hiyo ya turkey ambayo marekani wamesema hawatamleta, ni kwasababu turkey wanatoa allegation ambazo hazina ushahidi kama jamaa kweli anafadhili ugaidi, na yule yuko na issue ya politics sana, tofauti na mange hayuko kisiasa, siasa haiwezi kuwa kinga yake. na uzuri kuna commonality ya sheria ya cyber kati ya hii ya kwetu na ya marekani. kwa mwanasheria atakuwa amejua ninachomaanisha.
 
Kama una access na Mange niunganishe nae tuanzishe bifu nami niwe maarufu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka yakukute ya somebody chilumba????
 
lakini naye madereva aache kutufuatilia Ukawa akisikia habari zetu tu huyooooo shetani limempanda!, aliposikia tu ukuta umeahirishwa hadi tarehe 1 oktoba huyoooooo kakimbilia kutaja nayeye hiyo tarehe eti ya kupanda miti Dar.........hahahaha saivi ukimwambia Mange huyo! anaweza vunjika mguu kwa kukimbia.......

.Mungu mjalie kaka etu rais wa wakuu wa mikoa Tz katika utendaji wake
 
Hii ishu ya mtoto hata wema sepetu walim-attack sana mitandaoni huku tena mpaka wcb wakarekodi clip ya kumdiss waziwazi....mbona hamkutoa povu kama hii ishu ya mange kwa mkuu wa mkoa
si ishu ya mtoto tuu yule dada cjui ana jiamini nn saivi huko insta ana jaribu kuthibitisha kua mkuu ni gasho eti na ushahidi anao na ana mtusi makusudi ili makonda akimshtaki ndo autoe
 
Back
Top Bottom