Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapana. Ben ni mchambuz wa makala za siasa.. Sasa huyu jamaa na yeye kajifanya mchambuzi kamchambua Mange ikala kwakeKumbe hata Ben amewahi kupewa za usooo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Ben ni mchambuz wa makala za siasa.. Sasa huyu jamaa na yeye kajifanya mchambuzi kamchambua Mange ikala kwakeKumbe hata Ben amewahi kupewa za usooo?
Sio lazima kum follow mtu..muwe mnaangalia na watu wa kuwa follow huko insta
hahahaha. we ni kama mimi..nyumba ya mama mkwe aisee. ukisifia unachambwa ukiponda unachambwa kwaiyo bora kuufyata na kuwa mpenzi msikilizaji tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule ninaingia kama nyumba ya mama mkwe, kwa adabu na heshima na siachi comment zaidi ya kusoma, yule ni chizi maarifa, unaweza kumsifia pia akafikiri unamchora😀
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] Changanya NA za kwakommhh! siku zake tena!??? siku zipi izo? menstrual period au.
Anaogopa sheria ya mtandao.Mbona mwoga weka alichosema tuone nasisi sasa unakuja nusu nusu.
Ningemfata coz kama ni matusi 2 hanizidi, tatizo hii xeria mpya yanibanamfate instaa kudadek ata kupolomoshea matusi baba hadi utajihsi umejinyea
Dear, nilikujibu kule kwenye ile mada ingine uliponiuliza nikaribie nini? Uliiona post angu?
maaamaaaeee
Kama ni attention anaipata sana, angalia la kusema makamu anataka kujiuzuru mpaka ofisi ya imekanushaAnatafuta attention.. Ni vyema wanavyompuuza. Na Makonda wala usimpe kichwa kumtaja popote.
Umejuaje kama ni malaya, au umemkula?Mnasumbuka na Malaya !!!
naanza kuipata picha ya tatizoMwishowe tutamkufuru MUNGU bure. Natoka kwenye huu uzi na sirudi tena maana naona nafanya makosa.
Na~imagine maumivu ya kutopata mtoto, To be honest siyo vema kushadadia hili suala.
Ila chuki zinazopandikizwa na serikali hii, kujifanya, unafiki, kutukana watu wasio na hatia hadi kuwauliwa watu baba yao mbele ya Magufuli. yaani mtu akisimama anajiona yupo top of everything, vimenichosha
Naona nausaliti moyo wangu kumwone huruma huyu jamaa yenu. MUNGU anisamehe kwa hili hata nikijifanya siwezi.
nina mashaka na wewe mwanaume unae jisifia kwa matusi [emoji12]Ningemfata coz kama ni matusi 2 hanizidi, tatizo hii xeria mpya yanibana
Nadhani zoba ni wewe unaeuliza maswali utafikiri umekatika kichwa,lazima ajadiliwe kwani unaona anayofanya ni sahihi?embu nitolee shombo hapa hata ukija na ID 100 tunakujua tu mxiuuuukati ya wao na wewe unae mjadili huku nani zoba?
mkuu ni rahisi sana, watafungua holding charge hapa dsm, halafu wanapitishia attorney general then foreign affairs atakaopeleka ombi la usaidizi wa uchunguzi au extradition kwa ubalozi wetu ulioko marekani, ubalozi wetu utawakilisha lile ombi kwa foreign affairs wa marekani atakayepeleka kwa attorney general wao, na kesi itafunguliwa kule kuamua kama kuna kesi ya msingi kumleta tz au la, kuwepo kwa kesi ya msingi au la kutatokana na hati ya shitaka itakayokuwa imeambatanishwa kwenye maombi pamoja na ushahidi ambao ni incrimination kufanya kuwepo kwa kesi ya msingi. mahakama ndio ita toa uamuzi kama aletwe au la.kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu
Unataka yakukute ya somebody chilumba????Kama una access na Mange niunganishe nae tuanzishe bifu nami niwe maarufu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WeeeeeUnataka yakukute ya somebody chilumba????
si ishu ya mtoto tuu yule dada cjui ana jiamini nn saivi huko insta ana jaribu kuthibitisha kua mkuu ni gasho eti na ushahidi anao na ana mtusi makusudi ili makonda akimshtaki ndo autoeHii ishu ya mtoto hata wema sepetu walim-attack sana mitandaoni huku tena mpaka wcb wakarekodi clip ya kumdiss waziwazi....mbona hamkutoa povu kama hii ishu ya mange kwa mkuu wa mkoa