Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

So akakuta mkanda wa mandingo anampelekea baba yake [emoji91]...sema huyo dada yuko tayari kufanya lolote apate pesa,ngoja wahovyo wamrekodi binti yake halafu atajua hajui
 
Alivyoingia anga za mwenyekiti wa kamati ya amani nilijua ndio mwisho wake lakini waaapi bwana!!!!!
 

Mange anaweza kudhibitiwa, ila hakuna nia ya dhati kumdhibiti kwa sasa.

Hawa wote anaosambaza video zao za utupu wakiamua wanaweza kuungana, kumshitaki na kumfungulia kesi (libel case and criminal case) huko huko Marekani.

Kesi za uhalifu na za madai kwa mabilioni ya pesa. Kama watu wamepewa madawa (sio wote ni wachache) na yeye ananunua na kuzirusha tu bila kujali anaweza kuwa anasaidia uhalifu.
 
Bro hiyo hela anaingiza mwa mwezi sio mwaka.
 
Mange anaipataje??kama sio wanaojichukua wanampa.
 
Pole sana Mkuu na unaonyesha kuwa nawe ni Mhanga wa huko Kujeruhiwa nae.

Hata hivyo pamoja na Kumshutumu Kwako hivi ila 98% ya Taarifa zake huwa ni za Kweli.

Tafadhali Mange piga tu Spana Bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…