Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Kumlaumu Mange ni sawa na kumlaumu mjumbe aliyeleta taarifa dawa wanayo wahusika wenyewe, mangi haendi vyumbani mwao kurekodi uchafu unaoudai, Mange hawaambii wahusika wafanye sodoma na gomora na uchafu mwingine, tusilaumu mapokeo bali tulaumu chanzo na afadhali anawatoa hadharani ili wakome kwa tabia chafu,siku ingine hawatarudia kufanya ufirauni na kujirekodi, inabidi Mange apewe tuzo ya kuwa polisi wa maadili. Kufanya ufanye chumbani halafu kesho utake serikali iingilie, badala ya serikali tuiache ipambane na kupand bei kwa mafuta na vyakula.
 
Mkuu wa kulaumiwa ni wale wafanyao huo uchafu, na wacha awakomeshe ili waache tabia zao za kishenzi, mbona hamumlaumu Mwijaku, kwani kuna tofauti gani kati ya Mwijaku na Mange.
 
Hapo ni kuomba tu🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Duuuuh hakufanyiwa vizuri, ila bado wanaume hawakomi wanatembea na wake za watu tyuuh, lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimechekaa mnooo. Ila Mange lazima ana tatizo nafsini kwake. Daaah yuko bitter mno lol
 
Cocastic achafua hali ya hewa, habari kamili kwenye App ya Mange Kimambi
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost taratibu bas, usiombe iwe hivyo.
Ila daaah umakini unahitajika mno.
 
Kuna mwamba anasema anasubiri yako. Sijui utamwambia nini girlfriend wako akiona [emoji91] unachochewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwa na nini wee??? Mbna unaniparamia mie khaaaah??? Vipi umeguswaaaa?? Poleeeeh
 
Serikali haijaamua tu, kumrudisha inawezekana aje a face kesi zake huku
Hawana ujanja huo, US sio nchi ya kukubali huo ujinga wa kamata kamata kwa sababu umeumizwa feelings zako, na anachofanya US kinakubalika sana (Free speech), kwa US kama una issue naye fungua kesi to prove ukweli na damage uliyopata lakini sio kazi yake to prove alichosema ni kweli au uwongo, ni kazi yako wewe kama huwezi huna kesi, ila kangaroo court za huko anaweza kuwa guilty in 2 seconds
 
Mkuu, kuvujisha picha za uchi za mtu aliye druged,huko US sio kosa ? Imekaa vipi hii ? Maana huwa tunaamini US inarinda Sana privacy hasa Kama mtu hajafanya akiwa na akili timamu

Tunaomba utufafanulie
 
Mkuu, kuvujisha picha za uchi za mtu aliye druged,huko US sio kosa ? Imekaa vipi hii ? Maana huwa tunaamini US inarinda Sana privacy hasa Kama mtu hajafanya akiwa na akili timamu

Tunaomba utufafanulie
Yes ni kosa lakini you have to prove damage uliyopata na kama kweli hizo picha ni mali yako (registered with US copyright office) sura yako pekee haitoshi kukufanya uwe mmiliki halali wa hizo picha, US kuna leak nyingi sana za picha za watu maarufu lakini hujawahi kusikia mtu kashtaki kwa sababu vipicha vingi kama hivyo kwenye cellphone hakuna mtu mwenye copyright, kama unakumbuka Kim Kardashian porn video yake ilikuwa leaked lakini hakuna kitu alifanya zaidi ya kulia lia tuu maana alikuwa hana copyright na ile video, yes kama una hati miliki ya video zako za porno na mchepuko wako unaweza kushtaki lakini sijui utamwambia nini mkeo kuhusu hiyo hati miliki
 
Aisee! Kitu kimekliki kwa brain!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…