Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
Kumlaumu Mange ni sawa na kumlaumu mjumbe aliyeleta taarifa dawa wanayo wahusika wenyewe, mangi haendi vyumbani mwao kurekodi uchafu unaoudai, Mange hawaambii wahusika wafanye sodoma na gomora na uchafu mwingine, tusilaumu mapokeo bali tulaumu chanzo na afadhali anawatoa hadharani ili wakome kwa tabia chafu,siku ingine hawatarudia kufanya ufirauni na kujirekodi, inabidi Mange apewe tuzo ya kuwa polisi wa maadili. Kufanya ufanye chumbani halafu kesho utake serikali iingilie, badala ya serikali tuiache ipambane na kupand bei kwa mafuta na vyakula.
 
Inasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
Mkuu wa kulaumiwa ni wale wafanyao huo uchafu, na wacha awakomeshe ili waache tabia zao za kishenzi, mbona hamumlaumu Mwijaku, kwani kuna tofauti gani kati ya Mwijaku na Mange.
 
Ni kweli wasiokijua watu ni hiki, Hakuna aliye salama kwa sasa, unahitaji mtu anayejielewa sana na asiye na njaa/visasi.

Sisi kizazi kipya waturecord tu tutajitetea, ila tuna mama/mashangazi etc, siku ya siku unakuta connection ya shangazi yako huko! Ni huzuni sana.

Inahitaji kujizima data sana na kutokujali wengine ili ufurahie yanayoendelea. Otherwise tusali na mioyo yetu.
Hapo ni kuomba tu🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Alikuwa anakula mke wa mtu,, mwenye mke akamtega akamfuma,, akamkodia kundi la wanaume wakamfila walipotosheka wakamuwekea miti,, huku wakimrekodi,,.. tukio lilitokea kigoma ilikodiwa ndege mpk dar alipopata nafuu akaamua kujimaliza tu maana sio kwa fedheha ile
Duuuuh hakufanyiwa vizuri, ila bado wanaume hawakomi wanatembea na wake za watu tyuuh, lol
 
Shida ni kwamba mange Hana habari mpya ya kushtua zooote tunazijua labda walokuja mjini juzi au watoto wa 200's n.k ndo hawajui
Inshort ktk hii dunia Hana Cha kupoteza ,kashafiwa na wazazi wawili ,Tena baba ake kifo Cha karaha kabisaa
Humu jf tushamtukana sanaaa,kashatukanwa matusi yotee unayoyajua ktk hii dunia ndani na nje ya jf so kwa mange kwa Sasa labda wakiguswa watoto wake ndo atastuka lakini kwa yeye personally Hana jipya yote ndo Yale Yale
Inshort kwa Sasa tusiaminiane huko magesti Bora kuzima taa(Kama kondeboy) tu kuliko aibu Ile!
Na Hakuna kulala kupitiliza
NB;tusisahau kunyoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimechekaa mnooo. Ila Mange lazima ana tatizo nafsini kwake. Daaah yuko bitter mno lol
 
Cocastic achafua hali ya hewa, habari kamili kwenye App ya Mange Kimambi
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost taratibu bas, usiombe iwe hivyo.
Ila daaah umakini unahitajika mno.
 
Kuna mwamba anasema anasubiri yako. Sijui utamwambia nini girlfriend wako akiona [emoji91] unachochewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwa na nini wee??? Mbna unaniparamia mie khaaaah??? Vipi umeguswaaaa?? Poleeeeh
 
Serikali haijaamua tu, kumrudisha inawezekana aje a face kesi zake huku
Hawana ujanja huo, US sio nchi ya kukubali huo ujinga wa kamata kamata kwa sababu umeumizwa feelings zako, na anachofanya US kinakubalika sana (Free speech), kwa US kama una issue naye fungua kesi to prove ukweli na damage uliyopata lakini sio kazi yake to prove alichosema ni kweli au uwongo, ni kazi yako wewe kama huwezi huna kesi, ila kangaroo court za huko anaweza kuwa guilty in 2 seconds
 
Hawana ujanja huo, US sio nchi ya kukubali huo ujinga wa kamata kamata kwa sababu umeumizwa feelings zako, na anachofanya US kinakubalika sana (Free speech), kwa US kama una issue naye fungua kesi to prove ukweli na damage uliyopata lakini sio kazi yake to prove alichosema ni kweli au uwongo, ni kazi yako wewe kama huwezi huna kesi, ila kangaroo court za huko anaweza kuwa guilty in 2 seconds
Mkuu, kuvujisha picha za uchi za mtu aliye druged,huko US sio kosa ? Imekaa vipi hii ? Maana huwa tunaamini US inarinda Sana privacy hasa Kama mtu hajafanya akiwa na akili timamu

Tunaomba utufafanulie
 
Mkuu, kuvujisha picha za uchi za mtu aliye druged,huko US sio kosa ? Imekaa vipi hii ? Maana huwa tunaamini US inarinda Sana privacy hasa Kama mtu hajafanya akiwa na akili timamu

Tunaomba utufafanulie
Yes ni kosa lakini you have to prove damage uliyopata na kama kweli hizo picha ni mali yako (registered with US copyright office) sura yako pekee haitoshi kukufanya uwe mmiliki halali wa hizo picha, US kuna leak nyingi sana za picha za watu maarufu lakini hujawahi kusikia mtu kashtaki kwa sababu vipicha vingi kama hivyo kwenye cellphone hakuna mtu mwenye copyright, kama unakumbuka Kim Kardashian porn video yake ilikuwa leaked lakini hakuna kitu alifanya zaidi ya kulia lia tuu maana alikuwa hana copyright na ile video, yes kama una hati miliki ya video zako za porno na mchepuko wako unaweza kushtaki lakini sijui utamwambia nini mkeo kuhusu hiyo hati miliki
 
Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....

Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...

Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...

Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Aisee! Kitu kimekliki kwa brain!!
 
Back
Top Bottom