Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

kwenye malipo hata huambiwi kama unalipia MANGE KIMAMBI... so hata usiwalaumu
Walifuatilia mfumo wake wa malipo wanaweza kukata mfumo sababu yanapitia kwenye mifumo ya SIMU ambayo serikali wana uwezo wa kudhibiti.
Kwa kifupi serikali wabebe lawama. Na ipo siku wataanza kunyosheana vidole kwa hili.

Yule hajali akili yake haipo sawa
 
Vipi kama muhusika aliamua kumuuzia ile clip ili apige ela
 
Mambo ya kuzima taa si mahaba ni kuwanga. 😂

Kumpiga mtu picha na kusambaza huo ni ufala, unamafidisha nani, umeachwa tulia, watu tushamiliki saana picha na video za watu, mnatumiana wenyewe mkiachana ndio uzisambaze, ni UJUHA.

suala la kunyoa, sidhani kama kuna mwanadamu maisha yale yoote ni mwendo wa kipara tu, inatokea wakati mwingine unakuwa na GAME RESEVe, ila haipendezi ukiwa na NATIONAL PARK kabisa😂
 
😀 😀 😀 😀kipindi hawajampiga BAN bank huko acc ilikuwa inasoma MIL 100+ just in few weeks... yani nakwambia kawa ESCOBA sema hauzi cocaine
Izo pesa kapewa au serikali imepita nazo
 
ameanza kuweka hadi za mchicha mwibaa daah huyu binti kimeo sanaaa
 
Izo pesa kapewa au serikali imepita nazo
alilia sana kipindi kile na sirro akaandika waraka ndefu kumlilia mama nadhani walimuachia ila itakuwa walipiga pangaaa 😀
 
We ndo umesema sasaa!!
 
Mosi, kwa nini wahusika wajirekodi? Maana wapo wanaonekana kujirekodi wao...

Pili, kwa wale ambao hurekodiwa, je huwa wamewakosea nini hai wanaowarekodi? Huenda ni mambo ya visasi...

Hata hivyo itafika mahali atakosa contents za kuweka huko...
 
Mosi, kwa nini wahusika wajirekodi? Maana wapo wanaonekana kujirekodi wao...

Pili, kwa wale ambao hurekodiwa, je huwa wamewakosea nini hai wanaowarekodi? Huenda ni mambo ya visasi...

Hata hivyo itafika mahali atakosa contents za kuweka huko...
Mange hadeal na nudes tu,anaangalia vitu vingi tu ht umbea wa mjini km wanavoposti insta umbea mwingine wale Wana hide names yeye anaweka majina ya hao watu hvyo labda watu waache kumpelekea umbea wa watu Ila si rahisi maana njaa kali.mfano mmekuona star x anatukana nampelekea mange then anaposti hizo picha za uchi ni ziada tu
 
Hivi hakuna part two wajameni eeh?
Huku mnakoelekea naona mnanitamanisha nikadownload hiyo kitu nilipie nadhani kuna vigogo tutaona nyuchi zao na zilivyo na sura mbaya
 
Irene mwenyewe hajali wala nini? Kaposti insta na anajibu comments vizuri tu kama hakuna cha maana kilichotokea.

Ukimtania kuhusu zile video anacheka kwa emoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unadhani afanyeje ajilize uongo?
Mtu mwenyewe mshipa wa aibu ulishakata..

Lakini si alisema anaenda kushtaki Marekani?
 
kama ilishindwa kufungiwa account ya kigogo twitter iliyokuwa tishio kwa usalama wa nchi itakuwa hii ya mange as long as playstore wanapiga pesa kupitia iyo account amna wa kuifunga watu uko marekani mnapopasema wamerusha mpaka video za utupu za mtoto wa Rais bidden akiwa hotelini na kahaba tena uchi itakuwa ya uyu Irine ambaye jina lake hata boda tu alivuki acheni masihala na kuhusu kumdhuru akiwa kwenye ardhi ya USA icho kitu msahau utatafutwa kwenye kila pembe ya hii dunia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…