Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?


Nimekuvutia picha ulivyokua serious unaandika huu upuuzi, Mtu akipita anakuona upo busy mwenyewe anasema huenda unajibu email ya Donor flani au unatuma report flani kumbe unamtetea Mange, [emoji2]

Kama bado hujaona tofauti ya Mange akipost hizo videos na hao waliokua wanavujisha kimachale, bado una ufinyu sana wa kuelewa na kuchanganua mambo, sio makosa yako lakini ni malezi duni na vyakula duni tangu utotoni,

Mtu anayesheherekea kuona wengine wanadhalilishwa, wanatukanwa, wanafedheheshwa, ni lazima ana kasoro kubwa kwenye akili yake pale pale tunarudi kwenye Mental Health inapozalika Mental Disorder, bado hamjachelewa tafuteni tiba haraka madhara hua ni makubwa hapo baadae.
 
Yatakapokukuta ndio utaelewa. Watu wengi wanarekodiwa bila kujijua, nasemaje subiri yakukute.. kwako..ndugu au watoto wako!!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa dada wewe mwenye malezi mema na vyakula Bora nakuona unavoshusha points hapa!

Ila waambie waache kujirikodi wanataka wenyewe sio kwa kesi ya Irene na kwa kesi za wengine wanaofanya wenyewe pia kwa ridhaa zao,haijalishi Nani anasambaza iwe mange au wale wa kujificha inshort tuache kujirikodi picha za uchi na sura kuwatimua wanaume au kuhifadhi kwenye simu...

Mange atafungiwa lakini hizo picha hazitaacha kutolewa as long as kizazi Cha Sasa ni Cha hovyo na wengi hawana maadili ,hawana utu Wala hofu na Mungu.

Tuwafundishe watoto wetu utu na hofu kwa Mungu wao kwanza ndo tutatibu tatizo.

Hakuna Cha mental illness Wala nini[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kama kuumwa twauma sote mi na weye dada...shida ni kua nimesema ukweli ndo maana tuache kujirikodi dunia imebadilika haijalishi kavujisha mange au mwanaume wote wakosefu
Mwanzoni tulikua tunachukulia Raha tu tukiona nyuchi za watu mtandaoni Sasa mange nae ndo ameona kapata pakupatia Pesa hapo ndo tunashtuka mda huu,tulipaswa tuchukue hatua before mange hajaendeleza huu ujinga.
Pole dada Kama mmekukwaza

Usinitukane tu shoga anguu[emoji1493][emoji125][emoji125][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Yatakapokukuta ndio utaelewa. Watu wengi wanarekodiwa bila kujijua, nasemaje subiri yakukute.. kwako..ndugu au watoto wako!!
Hivi Kama Lulu diva utamlaumu Mange?
Mbona Mina Ally alimtetea?wale wa Fanta je? Wale wavulana wa ifm jamanii
Kabla ya kumlaumu mange na siye pia tubadili mienendo yetu pia
Sawa tunatuma picha za uchi Ila Kuna haja gani ya kuweka sura yako

Hizo za kurekodiwa bila kujijua hapo ndo mbaya Sasa Kama ya Irene siwezi mlaumu na ndo nasema tuwafundishe watoto wetu utu na hofu ya Mungu maana hakunaa dhambi kubwa Kama Ile ya kumdhalilisha mwenzako,maana tunaambiwa kabla ya kutaja aibu za mwenzako baasi taja aibu za nafsi yako...!!!

Mungu atunusuru ,ikitokea ndugu yangu amefanyiwa na naona kabisa kajirikodi mwenyewe ntamshangaaa tu maana kayataka Ila Kama karekodiwa kwa Siri hapo ndo pabaya
 
Na Ukute ni kijana WA kitanzania ana degree na amesema Cyber crime act ya tanzania.


Sijawahi kuona vijana wenye Low Thinking Capacity kama vijana wa Tanzania. Ni vijana wanao argue bila kutumia logic na uelewa WA mambo. Wengi hutumia Roho mbaya, njaa, ukosefu WA Ajira, chuki na Umasikini Ku Argue. Umasikini ni mbaya Sana.
 
Mange doesn’t care. So kama unamtetea Mange be ready kukutana na za ndugu zako au za kwako ulizopigwa ukiwa umelala huna habari! I hope wao au wewe mtakua na moyo wa kishujaa tusijewaskia kwa Millard Ayo mmejitanguliza.
 
Mange doesn’t care. So kama unamtetea Mange be ready kukutana na za ndugu zako au za kwako ulizopigwa ukiwa umelala huna habari! I hope wao au wewe mtakua na moyo wa kishujaa tusijewaskia kwa Millard Ayo mmejitanguliza.
Simtetei Mange miye brooh...Tena km Kuna watu walokua wanampinga mange miye mmojawapo pia
Najua hana shoga Wala rafiki kt hii dunia,ninachosema tusilaumu kidonda tulaumu tulipojikwaa,tunafeli kwenye malezi hata Mimi nawez akua victim sio wa mange tu hata kwa mwingine pia
Muhimu tuwe Makini Sana Sana Tena Sana tusijisahau wakwe kwa waume

Yakitokea baasi Kama kufa tutakufa a nachosema tuwe Makini Leo tutampiga Vita Ila haitapita mwezi unashangaa manyuchi tayari washarushwa mitandaoni..
We need to change for the good reason...
 
Haswaaaaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila umbea na udaku, maisha yangu yapo taabani.
 
Baba yake alibakwa au ulikuwa mchezo wake,?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Huyu alimpokea Mama Samia Marekani na wakapiga picha.... Inawezekana na Raisi ni Followers wa Mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…