lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
[emoji1]Mzee taratibu lugha lugha
Nendeni taratibu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1]Mzee taratibu lugha lugha
Nendeni taratibu
Ova
Hivi Yule wa chupa ya Fanta alimrusha mange?Mina Ally?menina?na wengineo...
Kabla ya kumnyooshea kidole mannge tujitafakari na sisi kwanza
!
Unapochukua picha utupu tegemea. Lolote laweza tokea
Application ya mange hata mwaka Haina Ila nudes photos zimekuwepo mda mrefu Kuna Wal vijana wa ifm walikua wanaliwa Tigo aliesambaza alikua mange?
Semeni labda kama mna chuki na mange Sawa Ila Mambo ya kuvuja mapicha ya uchi hayajaanza kwa mange na hayataisha mpk tubadilike sisi wenyewe
Yatakapokukuta ndio utaelewa. Watu wengi wanarekodiwa bila kujijua, nasemaje subiri yakukute.. kwako..ndugu au watoto wako!!Hivi Yule wa chupa ya Fanta alimrusha mange?Mina Ally?menina?na wengineo...
Kabla ya kumnyooshea kidole mannge tujitafakari na sisi kwanza
!
Unapochukua picha utupu tegemea. Lolote laweza tokea
Application ya mange hata mwaka Haina Ila nudes photos zimekuwepo mda mrefu Kuna Wal vijana wa ifm walikua wanaliwa Tigo aliesambaza alikua mange?
Semeni labda kama mna chuki na mange Sawa Ila Mambo ya kuvuja mapicha ya uchi hayajaanza kwa mange na hayataisha mpk tubadilike sisi wenyewe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimekuvutia picha ulivyokua serious unaandika huu upuuzi, Mtu akipita anakuona upo busy mwenyewe anasema huenda unajibu email ya Donor flani au unatuma report flani kumbe unamtetea Mange, [emoji2]
Kama bado hujaona tofauti ya Mange akipost hizo videos na hao waliokua wanavujisha kimachale, bado una ufinyu sana wa kuelewa na kuchanganua mambo, sio makosa yako lakini ni malezi duni na vyakula duni tangu utotoni,
Mtu anayesheherekea kuona wengine wanadhalilishwa, wanatukanwa, wanafedheheshwa, ni lazima ana kasoro kubwa kwenye akili yake pale pale tunarudi kwenye Mental Health inapozalika Mental Disorder, bado hamjachelewa tafuteni tiba haraka madhara hua ni makubwa hapo baadae.
Hivi Kama Lulu diva utamlaumu Mange?Yatakapokukuta ndio utaelewa. Watu wengi wanarekodiwa bila kujijua, nasemaje subiri yakukute.. kwako..ndugu au watoto wako!!
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mange mshenz sana yule mwanamke!
Na Ukute ni kijana WA kitanzania ana degree na amesema Cyber crime act ya tanzania.Nimekuvutia picha ulivyokua serious unaandika huu upuuzi, Mtu akipita anakuona upo busy mwenyewe anasema huenda unajibu email ya Donor flani au unatuma report flani kumbe unamtetea Mange, [emoji2]
Kama bado hujaona tofauti ya Mange akipost hizo videos na hao waliokua wanavujisha kimachale, bado una ufinyu sana wa kuelewa na kuchanganua mambo, sio makosa yako lakini ni malezi duni na vyakula duni tangu utotoni,
Mtu anayesheherekea kuona wengine wanadhalilishwa, wanatukanwa, wanafedheheshwa, ni lazima ana kasoro kubwa kwenye akili yake pale pale tunarudi kwenye Mental Health inapozalika Mental Disorder, bado hamjachelewa tafuteni tiba haraka madhara hua ni makubwa hapo baadae.
Mange doesn’t care. So kama unamtetea Mange be ready kukutana na za ndugu zako au za kwako ulizopigwa ukiwa umelala huna habari! I hope wao au wewe mtakua na moyo wa kishujaa tusijewaskia kwa Millard Ayo mmejitanguliza.Hivi Kama Lulu diva utamlaumu Mange?
Mbona Mina Ally alimtetea?wale wa Fanta je? Wale wavulana wa ifm jamanii
Kabla ya kumlaumu mange na siye pia tubadili mienendo yetu pia
Sawa tunatuma picha za uchi Ila Kuna haja gani ya kuweka sura yako
Hizo za kurekodiwa bila kujijua hapo ndo mbaya Sasa Kama ya Irene siwezi mlaumu na ndo nasema tuwafundishe watoto wetu utu na hofu ya Mungu maana hakunaa dhambi kubwa Kama Ile ya kumdhalilisha mwenzako,maana tunaambiwa kabla ya kutaja aibu za mwenzako baasi taja aibu za nafsi yako...!!!
Mungu atunusuru ,ikitokea ndugu yangu amefanyiwa na naona kabisa kajirikodi mwenyewe ntamshangaaa tu maana kayataka Ila Kama karekodiwa kwa Siri hapo ndo pabaya
Simtetei Mange miye brooh...Tena km Kuna watu walokua wanampinga mange miye mmojawapo piaMange doesn’t care. So kama unamtetea Mange be ready kukutana na za ndugu zako au za kwako ulizopigwa ukiwa umelala huna habari! I hope wao au wewe mtakua na moyo wa kishujaa tusijewaskia kwa Millard Ayo mmejitanguliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina Bibie ngoja nije dm yako unirushie nakuaminia mama wa udaku
Kabisaaaa yaan.I'm telling you atafunguliwa tu wakifunga Malipo tutalipa via PayPal hakuna namnaa [emoji16][emoji16][emoji16]maisha mafupi haya...
Haswaaaaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kunnua kadi niswipe vzr[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1493][emoji125][emoji125][emoji125]it is a free country kila mtu Ana Uhuru wake Kama wao wanavyojiingiza machupa ya Fanta kwenye uchi acha na sisi tulipie application ya Mange
Baba yake alibakwa au ulikuwa mchezo wake,?Huyu Bibi vitu anavyofanya anakosea sana. Angejifunza wahuni walivyomfanyia baba yake hadi akajiua.
Hata yeye kitu hicho hicho kinaweza kumtokea kilichomtokea baba yake.
Kulipa pesa watu kukutumia video za ngono watu wakifanya mambo yao in private ni uhalifu. Kupiga picha watu wakiwa ICU mahututi ni uhalifu na kuchochea uhalifu.
Watu wanaweza kuwawekea wengine date rape drugs, madawa ya kulevya, pombe kali ili wawapige picha wakiwa uchi, wauze picha na kupata pesa au kuwakomoa washindani / maadui wao.
theory za Uzushi. Hakuna aliyewahi kujitokeza na kuProve hii theory. Hakuna aliyekuwepo Watu tu huzusha.
Huyu alimpokea Mama Samia Marekani na wakapiga picha.... Inawezekana na Raisi ni Followers wa MangeNauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,
Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.
Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,
Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??
Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,
Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
UPDATE: Naishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kusikia Vilio vya wengi juu ya yule Dhalimu mwenye Matatizo ya Akili pamoja na genge lake kwa kufungia Malipo ya App yake, tunaomba iwe Permanent ili Tabia hizo chafu zikomeshwe na isiishie hapo tu, kwa Umoja wetu tufanye maandamano huko Insta ili akaunt yake ipigwe Life Ban.
Watu watamrushia maweMbaya wake SIRRO yuko Zimbabwe hivyo siku si nyingi atatia timu Bongo!!!
Ngono na adabu wapi na wapiAnataka watu wawe na adabu kwenye ngono!