Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

I agree...
Its the cash that flows into her Accounts.

But then, wanawake tuzijue thamani zetu jamani. Thamani zetuuu... nimejifunza tusiwe vipofu wa akili. Tusiwe vilema wa hisia zetu wenyewe. Tupende kwa akili. Tujifunze kukataa jambo tunaloona kabisa litatukosea heshime either ni leo ama kesho. Uwoya mwenyewe looks so unbothered ilihali watu wanampigania balaa halaf aliyemdhalilisha yuko nae beneath. Maybe kuna kitu behind the scenes anajilinda. Maybe kuna makubwa zaidi. Pia hizi lifestyle za wadada wa mjini jamani zinatuharibia sana mabinti wadogo. . Watafanya chochote kile in the name of money

Best solution ya kumkomesha Mange ni sisi wenyewe kujipenda. Tusikubali kurekodiwa. Tukisema tunablock njiaa hii ya malipo still atapata mbinu ingine. Ulimwengu wa sasa teknolojia iko juu sana. App imefungiwa muda sana lkn kupitia VPN bado inaoperate. Sasa hapa amekomoleka? Na tena isitoshe kwa akili mbovu za Mange anaweza hata fanya app bure bila malipo kukomoa zaidi. Na mbaya zaidi ameshasema ana mavideo hajayaachia aliyaweka vault kuwasitiri kwakua ni vigogo. Naona anapambana kwanza ili ikikaa vzr aachilie. Inasikitisha hadi wamama wamechachuka balaa. Tena umri wa wajukuu kbs.
Tujipende kwanza sisi wenyewe
Sina Cha kusema umenena kila kitu wawanake tujipende,tujithamini na tujue utu wetu la sivyo koneksheni hazitakaa Ziache kuvuja milele
Irene kwanza hajali anakula Bata mpk kuku wanaona wivu yaani anaoana
Mtu kwa tzshaderoom au Milly Yule Ana mavideo yake ya uchi yashawahi postiwa Tena na alikua anamdeti mume wa mtu Askari akaanikwa hvyo lazima awe mchungu kwa mange by any means,ukiangalia wengine wabibi eti wanajichukua mavideo[emoji853]ya hovyoo

Tubadilike tu kwa namna Bora kabisa ili huyo mange akose content za uchi.
 
Hehehehehe umenikumbusha Rachel Temu uwiii alijua kumkalia kooni kidogo alimpoozesha,
Sijui kaenda wapi Rachel nae jamani,

Bhoke kakimbia maana angekaa nae karibu na yeye angepelekwa Hospital ya Vichaa,

Yule Mtoto wa kiume naona anasubiri kwa hamu atimize miaka 18 sidhani kama ataendelea kuishi na mama ake,

Kwa Zari alichemka maana kila akifurukuta mwenzie bado kamuacha mbali sana kimaisha pia ninachoona kinazidi kumfanya apagawe ni ile kukosa uhuru, anatamani sana arudi Bongo ajimwambafai eeh nimetoka Marekani ila hawezi, anatamani kampani za marafiki lakini wote huko walishamkimbia nani atakaa na kigeu geu, nawaza yule Iron Lady ni kajitoa muhanga au na yeye anayajua mengi ya Bidada?
Si passport yake ishaachiliwa anaweza kurudi bongo
 
😂😂 naendelea kusoma comments
 
Hii ni kweli ....eti maadili

Kinachowauma ni hizo hela anazoingiza, hakuna kingine
Ama kweli Bipolars mpo wengi humu,
Yaani Mange aonewe wivu wa kuingiza pesa kwa ajili ya kudhalilisha wengine yaani hapo ni sawa useme Muuza madawa ya kulevya aonewe wivu au jambazi aonewe wivu kisa tu anaingiza pesa wakati anaua na kuumiza wengine,

Kama kwako Maadili unaona ni kitu kidogo again mjiunge mtengeneze kikundi chenu mkapange foleni Muhimbili ya kuonana na Wataalam wa Magonjwa ya Akili.
 
Huwa najiuliza wanaofuata hizo habari za udaku au kuona utupu wa wengine Wana akili Gani sipatagi jibu. Wamfungie milele tu huyu mama akili yake haifai
Ni Machizi Fresh unakuta mwengine kajifungia ndani kabisa anajichua kwa kuangalia nyuchi za wengine,
Sasa kufungiwa sites za Porn kufungiwa na Mange wana haha unajua Uraibu unavyotesa.
 
Huu ni ushamba mwingine . Kwanini una mi attack mtu na sio ku attack wazo lake?. Yaani watu wengi ambao hawana emotional control huwa mnapenda sana hii kitu . Kama hukubaliani na wazo la mtu , pinga wazo lake na sio kumpiga mtu na maneno eti alikosa lishe bora utotoni. After all aliye type apo humjui in person na ingewezekana mkaonana unakuta kakuzidi kila kitu. Tuache izo swaga za kuwa keybord worriers.

Maturity is when we start to understand small things and not when we start to speak big things
Haya kamwambie Mange akupe pipi upooze machungu yako
 
Ama kweli Bipolars mpo wengi humu,
Yaani Mange aonewe wivu wa kuingiza pesa kwa ajili ya kudhalilisha wengine yaani hapo ni sawa useme Muuza madawa ya kulevya aonewe wivu au jambazi aonewe wivu kisa tu anaingiza pesa wakati anaua na kuumiza wengine,

Kama kwako Maadili unaona ni kitu kidogo again mjiunge mtengeneze kikundi chenu mkapange foleni Muhimbili ya kuonana na Wataalam wa Magonjwa ya Akili.
Wewe mbona unalazimisha kile ulichoandika kila mtu akubaliane nacho? Hujui kwamba humu tunatofautiana mitazamo? Umekazania bipolar bipolar[emoji848][emoji848]

Wewe mawazo yako yamesikilizwa na kila mtu ana uhuru wa kuongea au kuandika chochote! Sawa?
 
Huu ni ushamba mwingine . Kwanini una mi attack mtu na sio ku attack wazo lake?. Yaani watu wengi ambao hawana emotional control huwa mnapenda sana hii kitu . Kama hukubaliani na wazo la mtu , pinga wazo lake na sio kumpiga mtu na maneno eti alikosa lishe bora utotoni. After all aliye type apo humjui in person na ingewezekana mkaonana unakuta kakuzidi kila kitu. Tuache izo swaga za kuwa keybord worriers.

Maturity is when we start to understand small things and not when we start to speak big things
Yaaan hili ndo lilivyo[emoji57][emoji57]

Linapenda sana kulazimisha mawazo yake kila mtu akubaliane nayo, ukimpinga kidogo tu linaporomosha matusi sijui bipolar, full ujuaji mwingi[emoji1784][emoji1784]

Tukisema na sisi tumjibu kwa mitusi tutafika kweli?
 
Alibakwa alikua anatoka na mke wa mtu ,akaliwa kiboka wakamchukha video!wakapeleke VHS home kwao kuangalia wanakuta baba analiwa ndo akajipiga risasi mzee Kimbambi,since then she is bitter person
Mange Hana Cha kupoteza ktk hii dunia ndo maana anafanya yote
Frank Mgoyo kamnyang'anya mtoto,ndugu zake haelewani nao,Lance wameachana kabaki na vibabu vya kizungu vinamuweka mjini
Mashoga wake woote wa mjini kagombana nao,ashawahi fumwa anamtumia email shoga ake ya kumsifia mchepuko kua anamla vzr nusu ampe nyuma

Kingine mmesahau nikikumbuka ntaandika
Ila ni mtata ,mkorofi na hajali kitu
Duuuuuh!!!

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbona unalazimishisha kile ulichoandika kila mtu akubaliane nacho? Hujui kwamba humu tunatofautiana mitazamo? Umekazania bipolar bipolar[emoji848][emoji848]

Wewe mawazo yako yamesikilizwa na kila mtu ana uhuru wa kuongea au kuandika chochote! Sawa?
Nimekuelewa Witty J, lakini Mawazo yangu ni Chanya ndio maana hata Insta wamechukua action lakini pia serikali yetu imefanya jambo pia,

Hakuna Mtu anayekatazwa kutoa mtazamo wake lakini je huo mtazamo ni hasi au chanya kwa jamii hapo ndipo kwenye kipimo cha akili sasa kinapohusika,

Maradhi ya akili sio matusi yakhee ni sawa ukasirike Mtu kukwambia ukapime Malaria sababu amekuona una joto kali,

#Tusichangie kwa Matusi wenye Forum yao watatupiga Ban na sie bado tunataka kufaidika na Forum hii.
 
Sina Cha kusema umenena kila kitu wawanake tujipende,tujithamini na tujue utu wetu la sivyo koneksheni hazitakaa Ziache kuvuja milele
Irene kwanza hajali anakula Bata mpk kuku wanaona wivu yaani anaoana
Mtu kwa tzshaderoom au Milly Yule Ana mavideo yake ya uchi yashawahi postiwa Tena na alikua anamdeti mume wa mtu Askari akaanikwa hvyo lazima awe mchungu kwa mange by any means,ukiangalia wengine wabibi eti wanajichukua mavideo[emoji853]ya hovyoo

Tubadilike tu kwa namna Bora kabisa ili huyo mange akose content za uchi.
Milly anazingua sana[emoji23][emoji23] its very personal. Anakosea. Anaamini she won.
Tuache kujidhalilisha tu aisee
 
Hivi Kama Lulu diva utamlaumu Mange?
Mbona Mina Ally alimtetea?wale wa Fanta je? Wale wavulana wa ifm jamanii
Kabla ya kumlaumu mange na siye pia tubadili mienendo yetu pia
Sawa tunatuma picha za uchi Ila Kuna haja gani ya kuweka sura yako

Hizo za kurekodiwa bila kujijua hapo ndo mbaya Sasa Kama ya Irene siwezi mlaumu na ndo nasema tuwafundishe watoto wetu utu na hofu ya Mungu maana hakunaa dhambi kubwa Kama Ile ya kumdhalilisha mwenzako,maana tunaambiwa kabla ya kutaja aibu za mwenzako baasi taja aibu za nafsi yako...!!!

Mungu atunusuru ,ikitokea ndugu yangu amefanyiwa na naona kabisa kajirikodi mwenyewe ntamshangaaa tu maana kayataka Ila Kama karekodiwa kwa Siri hapo ndo pabaya
Nipm ya lulu diva
 
Wanaomtetea mange humu JF wapuuzi akili kama za kuku. Mange anatengeneza ile hali ya kutaka kuogopwa. Anachokifanya uwoya kipindi hiki ndicho wanachotakiwa kukifanya victim wote wa bullying za mange. Uzuri ni kwamba lulu shujaa hadi muda huu mange kamshindwa alitegemea ataogopwa lakini kila akitoa pumba anakula za uso. Hizi sio zile zama za kushobokewa mara huyu akose raha hadi kutishia kujiua kisa kibetina kinachoishi nyumba za kupanga na child support
 
Shoga unapambana naona umekosa kuona nyuchi mpya basi hapo unahisi kama kuna kitu kimekosekana kwenye Maisha yako, kama nakuona ulivyoboreka kurudia videos za zamani, lol [emoji2960]

#Utani tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zipo koneksheni za watu wengine wasio mastaa mbona anaweka Tena wale wanajichukua wenyewe selfie kabisaa,hazipo za mastaa tu ntaborekaje Sasa!
 
Yaaan hili ndo lilivyo[emoji57][emoji57]

Linapenda sana kulazimisha mawazo yake kila mtu akubaliane nayo, ukimpinga kidogo tu linaporomosha matusi sijui bipolar, full ujuaji mwingi[emoji1784][emoji1784]

Tukisema na sisi tumjibu kwa mitusi tutafika kweli?
Hatufiki kokote zaidi tutapoteza energy na muda [emoji38] [emoji16]
 
Milly anazingua sana[emoji23][emoji23] its very personal. Anakosea. Anaamini she won.
Tuache kujidhalilisha tu aisee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]yaani Milly namuona kabisaa kununua ugomvi wakati hao mastaa Wala hawampendi yaani washamsweka mpk lupango sijui ndo anajipendekeza Tena

Milly Yuko too personal namuona kabisaa yaani kanunua ugomvi, ningemuona mtu km angesimama na menina kipindi kadhalilishwa. Ila nae mnaafiki Kama wengine
 
Back
Top Bottom