Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe shoga angu tukisema sie tunamuonea wivu kisa anaingiza pesa, [emoji119]Wanaomtetea mange humu JF wapuuzi akili kama za kuku. Mange anatengeneza ile hali ya kutaka kuogopwa. Anachokifanya uwoya kipindi hiki ndicho wanachotakiwa kukifanya victim wote wa bullying za mange. Uzuri ni kwamba lulu shujaa hadi muda huu mange kamshindwa alitegemea ataogopwa lakini kila akitoa pumba anakula za uso. Hizi sio zile zama za kushobokewa mara huyu akose raha hadi kutishia kujiua kisa kibetina kinachoishi nyumba za kupanga na child support
Sema wewe shoga angu tukisema sie tunamuonea wivu kisa anaingiza pesa, [emoji119]
Ila Uwoya nimempenda jamani ile ndio inavyotakiwa wazaramo tuna msemo wetu "when they go low, we go high"
Angeanza kujiliza liza hapo wabaya wake wangezidi kumpanda kichwani.
Imagine. Wamedhalilika wengi kakaa kimya. Hawatamuweza mange kama hawataacha jirekodi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]yaani Milly namuona kabisaa kununua ugomvi wakati hao mastaa Wala hawampendi yaani washamsweka mpk lupango sijui ndo anajipendekeza Tena
Milly Yuko too personal namuona kabisaa yaani kanunua ugomvi ,ningemuona mtu km angesimama na menina kipindi kadhalilishwa. Ila nae mnaafiki Kama wengine
APP enyewe inagoma ku log in, hata ukitumia VPN.
Wapenda umbea na ubuyu, tuna msiba wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza stress we bipolaristWewe mbona unalazimisha kile ulichoandika kila mtu akubaliane nacho? Hujui kwamba humu tunatofautiana mitazamo? Umekazania bipolar bipolar[emoji848][emoji848]
Wewe mawazo yako yamesikilizwa na kila mtu ana uhuru wa kuongea au kuandika chochote! Sawa?
Kuna vitu vingi vya kuangalia kule, kama umeandika hapa kuhusu kuumia na mada za video za uchi manake wewe ndo muangaliaji mkubwa, hakuja jamii inayoumizwa hapo ila jamii inafundishwa, shida ni kwamba Watanzania wengi hawapendi ukweli, hata mtu anaona ndugu yake kakosea badala amwambie ukweli anaficha ficha.Naona Mange umekuja kujitetea, lol
Sio kwa Gazeti hili aisee,
Hakuna Mtu Mwenye Personal issues ila linapokuja suala la kuumiza jamii kwa namna moja ama nyingine ni lazima likemewe na huyo Mtu kuwajibishwa,
Haya turudi sasa kwako Mnyakyusa Ipinda, kwa kua umezoea kuangalia Nyuchi za wenzio ndio maana umeguswa kuona Wengi humu wakikemea huo ujinga,
Dada kama huwezi kulala bila kuona uchi jirekodi videos zako mbali mbali kisha uwe unajitazama lakini kwa unachotetea hapa kinaonesha kabisa jinsi ulivyokua una Matatizo ya akili, hakuna Mtu mwenye Akili timamu akapenda kuangalia Nyuchi za Watu,
Wewe na Mange na genge lenu lote mnatakiwa mpewe Tiba haraka sana.
Ninyi ni Bipolars.
Umefunga pmYes sikua na smartphone
Sawa screwball
Ngoja nikupm mwenyewe maana hata sijui inafungwajeUmefunga pm
Fungua yako nikutext au nielekeze namna ya kufungua yanguUmefunga pm
Nimekumbuka yule mkurugenzi, alitolewa cheo hadharanKumgusa Uwoyaa pale ndo aliharibuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani Umeligusaa taifaaa kubwaa sanaaa sawa na enzi zile magu yupo alafu Umguse jokate..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitu vingi vya kuangalia kule, kama umeandika hapa kuhusu kuumia na mada za video za uchi manake wewe ndo muangaliaji mkubwa, hakuja jamii inayoumizwa hapo ila jamii inafundishwa, shida ni kwamba Watanzania wengi hawapendi ukweli, hata mtu anaona ndugu yake kakosea badala amwambie ukweli anaficha ficha.
Mimi sio Mange pia.
kauza alawi junior na ndiye aliyemrekodi akiwa amemzimisha, kaanza ku m blackmail tangu 2019 na hiyo clip kalipwa pesa sana hadi muhusika kachoka
Dah hapo msiniache mimi hata ucameraman tyu unantoshaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] lakin kuonja kidogo lazimaaaaAise sasa besty tunasubiri nini ngoja nimualike na Evelyn Salt tupige threesome matata tugawani hizo mil6
Hahaha camera man sii utatamani bureDah hapo msiniache mimi hata ucameraman tyu unantoshaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] lakin kuonja kidogo lazimaaaa
Na pesa mkinilipa hata laki tu inantoshaaaa[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Sasa si lazima na mimi nipate kituliza roho kwanza kabla sijaanza kaziii[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha camera man sii utatamani bure
Wewe ndo unamatatizo ya akili kwa kutofikilia kua haya ya kusambaza mtandaoni ni matokeo ya kukua kwa technology, yani mtu yuko marekani atoke akamshauri uwoya TZ kisa wengine wasijue? no way social media ni njia rahisi ya kufikia watu, pia wengine wakijua watajirekebisha.Tukisema mna matatizo ya akili tunaambiwa tunawatukana,
Jamii inafundishwa kwa kumtukana Mtu na kumdhalilisha sio??
Mfano wewe leo uambiwe uvuliwe nguo zote utembezwe Uchi na bango limeandikwa " Mzinzi aliye kubuhu" hapo utakua unafundishwa??? Na family yako pia itakua imefundishwa?? Kazi/Biashara yako pia itakua imefundishwa???
Hebu acheni kuhalalisha Haramu kua Halali, na kama huko kwenye App kuna vitu vingine mbona havijulikani zaidi ya hizo videos ambazo yeye mwenyewe anakiri ndio zinazompa Pesa kwa kuongoza kutazamwa na Watu nyie.