Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Wanaomtetea mange humu JF wapuuzi akili kama za kuku. Mange anatengeneza ile hali ya kutaka kuogopwa. Anachokifanya uwoya kipindi hiki ndicho wanachotakiwa kukifanya victim wote wa bullying za mange. Uzuri ni kwamba lulu shujaa hadi muda huu mange kamshindwa alitegemea ataogopwa lakini kila akitoa pumba anakula za uso. Hizi sio zile zama za kushobokewa mara huyu akose raha hadi kutishia kujiua kisa kibetina kinachoishi nyumba za kupanga na child support
Sema wewe shoga angu tukisema sie tunamuonea wivu kisa anaingiza pesa, [emoji119]

Ila Uwoya nimempenda jamani ile ndio inavyotakiwa wazaramo tuna msemo wetu "when they go low, we go high"

Angeanza kujiliza liza hapo wabaya wake wangezidi kumpanda kichwani.
 
Mbinu aliyotumia uwoya nzuri sana. Wamejazana weee kwenye comments kumkashfu ila wala hajatoa block wala mapovu kabaki kujibu kwa emoj tu.

Ila inashangaza sana kuona wabongo wamehamishua akili kusaka picha na video za utupu za wenzao utadhan kuna maajabu au utafauti na walivyo
Sema wewe shoga angu tukisema sie tunamuonea wivu kisa anaingiza pesa, [emoji119]

Ila Uwoya nimempenda jamani ile ndio inavyotakiwa wazaramo tuna msemo wetu "when they go low, we go high"

Angeanza kujiliza liza hapo wabaya wake wangezidi kumpanda kichwani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]yaani Milly namuona kabisaa kununua ugomvi wakati hao mastaa Wala hawampendi yaani washamsweka mpk lupango sijui ndo anajipendekeza Tena
Milly Yuko too personal namuona kabisaa yaani kanunua ugomvi ,ningemuona mtu km angesimama na menina kipindi kadhalilishwa. Ila nae mnaafiki Kama wengine
Imagine. Wamedhalilika wengi kakaa kimya. Hawatamuweza mange kama hawataacha jirekodi
 
APP enyewe inagoma ku log in, hata ukitumia VPN.
Wapenda umbea na ubuyu, tuna msiba wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mbona unalazimisha kile ulichoandika kila mtu akubaliane nacho? Hujui kwamba humu tunatofautiana mitazamo? Umekazania bipolar bipolar[emoji848][emoji848]

Wewe mawazo yako yamesikilizwa na kila mtu ana uhuru wa kuongea au kuandika chochote! Sawa?
Punguza stress we bipolarist



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Naona Mange umekuja kujitetea, lol
Sio kwa Gazeti hili aisee,
Hakuna Mtu Mwenye Personal issues ila linapokuja suala la kuumiza jamii kwa namna moja ama nyingine ni lazima likemewe na huyo Mtu kuwajibishwa,

Haya turudi sasa kwako Mnyakyusa Ipinda, kwa kua umezoea kuangalia Nyuchi za wenzio ndio maana umeguswa kuona Wengi humu wakikemea huo ujinga,

Dada kama huwezi kulala bila kuona uchi jirekodi videos zako mbali mbali kisha uwe unajitazama lakini kwa unachotetea hapa kinaonesha kabisa jinsi ulivyokua una Matatizo ya akili, hakuna Mtu mwenye Akili timamu akapenda kuangalia Nyuchi za Watu,

Wewe na Mange na genge lenu lote mnatakiwa mpewe Tiba haraka sana.
Ninyi ni Bipolars.
Kuna vitu vingi vya kuangalia kule, kama umeandika hapa kuhusu kuumia na mada za video za uchi manake wewe ndo muangaliaji mkubwa, hakuja jamii inayoumizwa hapo ila jamii inafundishwa, shida ni kwamba Watanzania wengi hawapendi ukweli, hata mtu anaona ndugu yake kakosea badala amwambie ukweli anaficha ficha.

Mimi sio Mange pia.
 
Kumgusa Uwoyaa pale ndo aliharibuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani Umeligusaa taifaaa kubwaa sanaaa sawa na enzi zile magu yupo alafu Umguse jokate..
Nimekumbuka yule mkurugenzi, alitolewa cheo hadharan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu vingi vya kuangalia kule, kama umeandika hapa kuhusu kuumia na mada za video za uchi manake wewe ndo muangaliaji mkubwa, hakuja jamii inayoumizwa hapo ila jamii inafundishwa, shida ni kwamba Watanzania wengi hawapendi ukweli, hata mtu anaona ndugu yake kakosea badala amwambie ukweli anaficha ficha.

Mimi sio Mange pia.

Tukisema mna matatizo ya akili tunaambiwa tunawatukana,
Jamii inafundishwa kwa kumtukana Mtu na kumdhalilisha sio??

Mfano wewe leo uambiwe uvuliwe nguo zote utembezwe Uchi na bango limeandikwa "Mzinzi aliye kubuhu" hapo utakua unafundishwa? Na family yako pia itakua imefundishwa? Kazi/Biashara yako pia itakua imefundishwa?

Hebu acheni kuhalalisha Haramu kua Halali, na kama huko kwenye App kuna vitu vingine mbona havijulikani zaidi ya hizo videos ambazo yeye mwenyewe anakiri ndio zinazompa Pesa kwa kuongoza kutazamwa na Watu nyie.
 
Aise sasa besty tunasubiri nini ngoja nimualike na Evelyn Salt tupige threesome matata tugawani hizo mil6
Dah hapo msiniache mimi hata ucameraman tyu unantoshaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] lakin kuonja kidogo lazimaaaa

Na pesa mkinilipa hata laki tu inantoshaaaa[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Tukisema mna matatizo ya akili tunaambiwa tunawatukana,
Jamii inafundishwa kwa kumtukana Mtu na kumdhalilisha sio??

Mfano wewe leo uambiwe uvuliwe nguo zote utembezwe Uchi na bango limeandikwa " Mzinzi aliye kubuhu" hapo utakua unafundishwa??? Na family yako pia itakua imefundishwa?? Kazi/Biashara yako pia itakua imefundishwa???

Hebu acheni kuhalalisha Haramu kua Halali, na kama huko kwenye App kuna vitu vingine mbona havijulikani zaidi ya hizo videos ambazo yeye mwenyewe anakiri ndio zinazompa Pesa kwa kuongoza kutazamwa na Watu nyie.
Wewe ndo unamatatizo ya akili kwa kutofikilia kua haya ya kusambaza mtandaoni ni matokeo ya kukua kwa technology, yani mtu yuko marekani atoke akamshauri uwoya TZ kisa wengine wasijue? no way social media ni njia rahisi ya kufikia watu, pia wengine wakijua watajirekebisha.

Hizo habari zinamuingizia pesa sababu kama nilivyosema, watamzania ni wambea ma wengi wanapenda kuangalia hayo mavitu, ila wakiwa jf wajidai eti hawana app ya Mange, mala maadili, kumbe mda wote wanachungulia hizo habari,

Cha kufanga ni kujiangalia wewe mwenyewe, usitegemee watu wakulindie privacy yako, ukishindwa kuilinda watu wakadaka siri zako watasambaza kama hivo.
 
The powers that be went for the jugular this time around as far as controlling and containing this Satanic Whore. No more money coming in, and bit.ch is twitching and kicking like a dying horse. It's virtually game over for her scandalous, shitty App as Google Pay and Apple Pay won't accept debit cards from most Tanzania based banks. "Ufyatue" debit card kupitia Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money on a whim, just like that, halafu utegemee Google Pay na Apple Pay waruhusu miamala ipite? Come on brother?
 
Back
Top Bottom