Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Huo utetezi wako wa kichawa wàandikie chawa wenzio wasio na akili, wenye akili huru tunamuelewa mange
 
Halafu utumie muda wako kusoma extradition agreements zinasemaje usifikiri US ni banana republic.

Yaani nyinyi mnafikiri Mange anayoyafanya ni makosa kwenye kila nchi?

Yaani unafikiri kwamba vyombo vya dola US vinaamrishwa tu na rais bila utaratibu kama CCM wanavyoviamrisha maana ni matawi yake?

Unafikiri tu Mange kupandishwa ndege kurudishwa Tanzania ni sawa na kufunga safari kutoka kijijini kwenu Singida kwenda Lumumba kuchukua posho ya uchawa?
 
Suphian wa Mlimani TV na huyu wa sasa ni SHIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…