Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Wacheni wajameni.

Idadi ya Watanzania waliochambwa, kutukanwa, kufedhuliwa, kukashifiwa kukejeliwa ni kubwa sana. Sasa izidishe hii idadi kwa kuwajumlisha ndugu zao, marafiki zao na wengine wanaowahurumia tu.

Ukitaka ndugu wa Mange wawachukie wale wote wanaomchukia dada yao basi hawatakuwa na rafiki kamwe.

Mange amewagusa vibaya watu wengi sana hapa TZ. Sasa anakufa kifo cha mende. Hata ndugu wa damu hawamtaki tena. Atakuwa mgeni wa nani akirudi?

Ni afadhali akae hukohuko majuu na akifa azikwe na manispaa.

Amelikoroga mwenyewe hili. ATALINYWA TU.
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Huyo unayemtaka aandike hiyo ' Barua ' badala ya kujibu kupitia ' Mtandaoni ' unadhani ana akili sawasawa Mkuu? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Upo sahihi kabisa. Kwa tabia yake hii ya kuwaanika ndugu na hata siri za ndani za familia inonesha wazi huyu sio mtu wa kumuamini na siri yako hata kidogo. Siku moja atakujaitoa nje tu.

Waliopo TZ wanaompelekea siri nyeti za serikali wanapaswa kuogopa mara 2:

[emoji830]1. Aina ya siri inaweza kumuumbua mtoaji siri (chain of custody ya hiyo siri).

[emoji830]2. Hatimaye Mange atakuja waumbua mwenyewe kwa tabia yake hii. Watajulikana tu.
 
Dada Mange I still loves you no matter what una ujasiri kuzidi wanaume kumi wa Dar
 
Mali ya Urithi haikai. Walitopitia hayo wanaelewa.

Machalii wale ndio wanamalizia Mzigo na ndio ushakata.

Bashite kapata Loop holes kumtoa kwenye Mstari Mdada, am not sure if he can succeed.
Hujaelewa moves za Mange,anadistruct njia za Bashite.
Kuna Message Bashite anaituma kwa Mange,mange kailewa anamuonyesha sijali na hawana umuhimu kwangu.
Hii pia ni njia ya Mange kuwaokoa madogo mabwege.
 
Hujaelewa moves za Mange,anadistruct njia za Bashite.
Kuna Message Bashite anaituma kwa Mange,mange kailewa anamuonyesha sijali na hawana umuhimu kwangu.
Hii pia ni njia ya Mange kuwaokoa madogo mabwege.
Labda zile za kihindi
 
Ndugu unakosea huo ni ubaguzi kusema mtoto wa kike hana chake karne hii.Na sitegemei mtu mwenye uwezo wa comment hapa jf kuongea hivyo. hayo ni mawazo ya wazee wa kule kwenye vijiji vya mbali sana tena wamebaki wachache sana.Wewe ukizaa watoto wa kike tupu kama Obama mali zako utagaia majirani kwasababu huna wa kiume?
 
Si apande ndege aje kudai haki yake kwenye nchi yetu ya amani na ambapo ana mali asilimia 25 kila kona.
 
Haha mdogo mdogo Huyu mwehu atatembea uchi.
Wema,brother mara watoto mara the list goes on
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Haiwezekani! Maana nao waliuza na wakakaa kimya! Mbaya Dada Mkubwa wanajua hatohangaika kuja huku !
 
Sijaumia siko kwenye level ya kuumia tena ila nimekukumbusha tu... Tafakuri juu ya imani yako... Haya mengine yote ni ya kupita... Kumbuka wakati si milele... Na kila jambo lina majira yake
Wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna,wakati wa kulia na wakati wa kucheka .Na huwezi kupata vyote kwa pamoja lazima kimoja kitangulie chengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…