Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Ukweli unabaki kuwa IQ ya mtu anayewasaidia ndugu zake akitarajia kuwa hao ndugu watakuwa marafiki wa rafika zake na maadui wa maaduii zake huyu mtu ana IQ ya kutisha. Halafu anawatishia hao nduguze kwenye poblic. Sasa wewe kama ni shabiki au unamkubali mtu design hiyo JIFIKIRIE upya wewe ni mtu wa aina gani
Wacheni wajameni.

Idadi ya Watanzania waliochambwa, kutukanwa, kufedhuliwa, kukashifiwa kukejeliwa ni kubwa sana. Sasa izidishe hii idadi kwa kuwajumlisha ndugu zao, marafiki zao na wengine wanaowahurumia tu.

Ukitaka ndugu wa Mange wawachukie wale wote wanaomchukia dada yao basi hawatakuwa na rafiki kamwe.

Mange amewagusa vibaya watu wengi sana hapa TZ. Sasa anakufa kifo cha mende. Hata ndugu wa damu hawamtaki tena. Atakuwa mgeni wa nani akirudi?

Ni afadhali akae hukohuko majuu na akifa azikwe na manispaa.

Amelikoroga mwenyewe hili. ATALINYWA TU.
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Huyo unayemtaka aandike hiyo ' Barua ' badala ya kujibu kupitia ' Mtandaoni ' unadhani ana akili sawasawa Mkuu? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Tatizo mnaangalia hili kiitikadi. Mange angepata credit kubwa kama angepotezea hili. Unapofikia sehemu ya kumuanika ndugu au familia huku ukisema unalipenda Taifa lazima wenye akili wahoji! Kama unaweza kuvunja agano la mshikamano alilowaachia baba yenu tena kwa kuanikana mitandaoni mnategemea nini kwenye misimamo mingine?

Mange amejibebesha mizigo ambayo mwisho wake atajikuta peke yake. Kama ameamua kuvalia njuga anachohamasisha ajipange na matokeo yake maana si madogo pia.

Mbaya zaidi wabongo ujanja wao unaishia kwenye keyboard tu lakini pale watapofanikiwa kumuweka kati na kumrudisha Tanzania atajikuta na wanasheria wachache wa kumpigania kwa muda huku wengine wakiishia kulaani mitandaoni na kumsahau baadae.

Ni vizuri wenye nia njema nae wakawa wanamshauri namna ya kuikosoa serikali bila udhalilishaji na matusi ya kupitiliza. Pia taarifa zingine anapozitoa mitandaoni ajue na matokeo yake wakimpata maana watakuwa wanakusanya ushahidi kwa namna ambayo inaweza kuja kumtia hatiani.

Influence yake ingebaki kwenye mambo ya msingi kama ilivuokuwa JF enzi hizo na akina invisible. Watu wanakusanya facts na nyaraka kuibua uozo na unawakilishwa kwa staha. I believe she can be better than that sababu wanaomfatilia ni wengi kuliko enzi zile za JF.
Upo sahihi kabisa. Kwa tabia yake hii ya kuwaanika ndugu na hata siri za ndani za familia inonesha wazi huyu sio mtu wa kumuamini na siri yako hata kidogo. Siku moja atakujaitoa nje tu.

Waliopo TZ wanaompelekea siri nyeti za serikali wanapaswa kuogopa mara 2:

[emoji830]1. Aina ya siri inaweza kumuumbua mtoaji siri (chain of custody ya hiyo siri).

[emoji830]2. Hatimaye Mange atakuja waumbua mwenyewe kwa tabia yake hii. Watajulikana tu.
 
Mali ya Urithi haikai. Walitopitia hayo wanaelewa.

Machalii wale ndio wanamalizia Mzigo na ndio ushakata.

Bashite kapata Loop holes kumtoa kwenye Mstari Mdada, am not sure if he can succeed.
Hujaelewa moves za Mange,anadistruct njia za Bashite.
Kuna Message Bashite anaituma kwa Mange,mange kailewa anamuonyesha sijali na hawana umuhimu kwangu.
Hii pia ni njia ya Mange kuwaokoa madogo mabwege.
 
Hujaelewa moves za Mange,anadistruct njia za Bashite.
Kuna Message Bashite anaituma kwa Mange,mange kailewa anamuonyesha sijali na hawana umuhimu kwangu.
Hii pia ni njia ya Mange kuwaokoa madogo mabwege.
Labda zile za kihindi
 
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
Ndugu unakosea huo ni ubaguzi kusema mtoto wa kike hana chake karne hii.Na sitegemei mtu mwenye uwezo wa comment hapa jf kuongea hivyo. hayo ni mawazo ya wazee wa kule kwenye vijiji vya mbali sana tena wamebaki wachache sana.Wewe ukizaa watoto wa kike tupu kama Obama mali zako utagaia majirani kwasababu huna wa kiume?
 
Mimi sio mshabiki wa huyu Dada, lakini kwa jinsi anavyopaishwa na hii serikali ya Tanzania ya watu 50million plus. She is becoming more relevant day by day in Tanzania and commanding a huge following!

And surprise to many, She is revealing one thing, she IS THE ONE RUNNING THE GOVERNMENT ! AGREE TO DISAGREE.

and another aspect, why the government fail to ignore her, either in most part she is telling the truth or the government is full of incompetency autocrats, and she is irritating them really hard!

Anawakuna kisawasawa!
Si apande ndege aje kudai haki yake kwenye nchi yetu ya amani na ambapo ana mali asilimia 25 kila kona.
 
Haha mdogo mdogo Huyu mwehu atatembea uchi.
Wema,brother mara watoto mara the list goes on
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Haiwezekani! Maana nao waliuza na wakakaa kimya! Mbaya Dada Mkubwa wanajua hatohangaika kuja huku !
 
Sijaumia siko kwenye level ya kuumia tena ila nimekukumbusha tu... Tafakuri juu ya imani yako... Haya mengine yote ni ya kupita... Kumbuka wakati si milele... Na kila jambo lina majira yake
Wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna,wakati wa kulia na wakati wa kucheka .Na huwezi kupata vyote kwa pamoja lazima kimoja kitangulie chengine.
 
Back
Top Bottom