Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Ccm itatawala milele? Je akiamua kuweka wakili?
 
Broda ni ngumu mno mange kupata hizo shares,kwanza hio hotel anayoisemea ni guest isiyofanya kazi,pia kuna kesi ya nyumba mange alifungua dhidi ya mama ake wa kambo(mke wa ndoa wa mzee kimambi)yule mama alishinda. Na hata saiv mange akija kufungua kesi labda iwe kwa mahakama za marekan ila kwa Tanzania hii hata TLS hawawez msaidia ushindi zaid ataishia gerezan
Wema kwa vile umemvuruga vuzi dada Mange.
Sasa mwambie huyo anil aanza kujiandaa kutoa share ya mil 400
 
me naona huu ni mpango wa Anil na Mange, nahis Anil alimwambia sis wake kuwa Rais wa dar ananitafuta sana...Mange akamwambia you just go and kiss his ass...(ili uwe safe kwa biashara zako) halafu me huku nitajitia kulalamika kwa social media!!! So its a win * win* situation.
 
Msishangae siku moja mange akarudi bongo na kuwa ccm.
Ni suala tu la watu wa serikali kumhakikishia usalama wake na kutosumbuliwa..tena akawa rafiki wa makonda
Nawaambieni hili linawezekana
 
It is quite dangerous and catastrophic to be led by a person who is extrovert and impulsive.
If she is what you say, the oath of office will not mean anything to her when her moods and 'involuntary' actions take over.

Be as it may, whether it was deliberate or involuntary as a result of her mentioned condition, what she did is wrong. Forcing people into her political affiliation by use of threats and damaging exposure of private matters is wrong, criminal and against the very principles of democracy she is fighting for.

If she really cant help it, its high time she gets appropriate medical help.

Who told you she wants to become a president, she is just expressing her grievances and point out hypocrisy, idiocy, incompetency and so on on..

She decide to take it on another notch, get use to it,

We are no longer living in a dungeon, people can’t express their thoughts on blogs !

I won’t give her my vote, but if you tell me who I would rather listen to, she seems to win me over on her arguments, and she is too smart to ignore.

God bless her soul, she is the real warrior, and you don’t like it and I myself tend to disagree to many of what she says! But unfortunately, I can’t see myself not looking at her blog and see other perspective of what to make of these government, and she is almost spot on.[emoji1476]

Trust me there are lot of grieving souls from CCM, they surely like it too..
 
Ni mwehu huyo choko. Ndugu zake wako smart sana, huwezi ukataka wapambane na serikali na kuendekeza ujinga wako wakati wao ndo wanaishi eneo husika masaa yote 24/7. Mwanaume ni lazima uiangalie akili ya dada yako vizuri kwani wewe leo na kesho ndo wa kuijenga familia yenu, sasa unaanzaje kupambana na serikali yako mwenyewe?

Mwanamke hata kwenye familia si wa kuaminiwa make hachelewi kuwauza na akawahasi. Sasa kama yeye uko aliko nani anajua atarudi lini wakati anaonesha kabisa kahasi nchi yake?. Nani anamchagulia yeye marafiki na wale wanaomshika matako?

Sasa leo eti anawatishia kaka zake kwa kupuuzia utoto wake mitandaoni, hata kama ni wadogo kwake bado ni watu wazima wenye kuelewa uzuri na ubaya na cost za anachokifanya dhidi ya familia yao. Na kwa ujinga wake bado haoni kama wanajaribu kumsaidia hata yeye, very rubbish Mange.

Kwanza sidhani kama wanaamini kwa anayoyafanya ipo siku atarudi Tz na ndo maana wanauza waendelee na shughuri zingine. Wewe kuwa mkubwa, ukapewa mali zote alafu kumbe ni zwazwa unayeanzisha vita na serikali ukiwa ugenini huwezi kusifiwa hata na jamaa zako, labda vichaa wenzako tu.

Familia wanahitaji utaratibu mwingine wa kuanza kufikilia maisha yao bila ya wewe kama kiongozi, familia siyo ukubwa wala udada, familia siyo kuishi Marekani wala kuisakama serikali, familia ni kutenda matendo ya hekima kwa unaowaongoza na kuendelea kuwa nao

Poor Mange!
 
Tatizo Konda anafanya mambo ambayo anadhani anamdhoofisha Bidada kumbe anazidi kumpa sympathy.

Hapo ameonesha ni jinsi gani bidada anaogopeka.
 
Broda ni ngumu mno mange kupata hizo shares,kwanza hio hotel anayoisemea ni guest isiyofanya kazi,pia kuna kesi ya nyumba mange alifungua dhidi ya mama ake wa kambo(mke wa ndoa wa mzee kimambi)yule mama alishinda. Na hata saiv mange akija kufungua kesi labda iwe kwa mahakama za marekan ila kwa Tanzania hii hata TLS hawawez msaidia ushindi zaid ataishia gerezan
Kwani lazima Mange aje leo kufungua kesi?
Mange hawezi kurudi leo.
Na hivyo nyumba na mali zao sio za utawala wa kikwete wala magufol wenu ni kipindi cha mkapa.

Sasa basi unadhani kwamba Magu atatawala mileke mpaka mange ashindwe kurudi huko mbeleni?

Au ndio mnajimilikisha nchi kama rwanda
 
Kwan kosa la huyo ndugu ni lipi?kupiga picha ni kosa?
Si kosa. Japo muhusika kwa sasa anatapatapa kumtoa dada kwenye reli. Yeye atulie tu mbona tunajua hiyo tarehe hakuna chochote anazidi tu kumpa sympathy na kuonekana kweli kawashika pabaya.

Hii ni Tanzania si Kenya tunajijua kabisa vile ni waoga.
 
Sasa wewe na familia yako mtawasiliana kuhusu nini?

Mna kajumba hata ka milioni kumi mjini hapa?

Ufukara wenu usiufananisha na kila mtu.
Kama umeanza kumjua Mange leo bado nenda kwenye archives kwanza
Watu mna dharau wewe una utajili gani mkuu?
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Teh teh teh

Utakuta system iko kazin kuwafarakanisha. Ikishawafarakanisha vizuri Mange hatokuwa mkosoaji mzur wa Magufuli na Makonda wake. Atabaki kufikiria juu ya ndugu zake na nk

Au uchumi au vitega uchumi vikipotea atakuwa 'alosto'. Atakuwa anafikiria zaidi kuhusu maisha ya mbeleni kuliko kumfikiria magufuli na sirikali yake
 
Wewe ni matako tu, undugu hautenganishwi na siasa. They will always remain brother and sister regardless ya hizi fitina

Halafu Mange hapambani na ccm, kwa sasa she is non partisan, standing and fighting for the country. Na kwa taarifa yako tu wanaccm wengi tunamsupport. Miaka ya mbeleni baada ya utawala huu wa kidictator mchango wa Mange Kimambi utatambuliwa na kuenziwa.
HA!
 
Back
Top Bottom