Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Kweli wanaomuunga Mkono huyu bidada wakapimwe akili, natafakari tu jinsi anavyotaman kurud nyumban azushe varangati halafu haiwezekani. Mhe. Makonda nashauri hiyo hotel ipigwe bango FOR SALE hakwanan atableed huko aliko, asicheze na akili kubwa huyo bich.
 
Mali asahau mtoto wa nje ya ndoa anapewa tu kwa hisani na huruma ya watoto wa ndoani basi. Ila katujulisha saiv wamebakiwa na guest na nyumba moja tu basi,viwanja vingine alivyopewa na hao ndugu,mange alishauza kumsaidia mzungu kupunguza madeni

 
pole bidada shupavu wetu!
 
Bonge amemsaliti dada ake! Siku zote damu ni nzito kuliko maji! Alichokifanya ni dhahiri yuko tayari hata dada ake anyongwe ili tu kina DAB wafurahi! Wakina Paul ni wapita njia lakini Mange atabaki kuwa ndugu yake milele na hakupaswa kumdhalilisha kiasi hiki! Hata hao kina DAB pamoja na matatizo yao bado ndugu zao wanawasapoti! Ila huwezi jua labda alitishiwa kutekwa!
 
Wape wape vipande vyao wakimeza wakitema ni shauri yao, kupiga Picha na makonda ni kitendo cha aibu sana
Ni haki yake kidemocrasia kufanya atacho na apendacho ili mradi havunji sheria,nyie si ndio mnahubili democrasia kila siku?,mbona hapa mnapingana na mahubili yenu?
 
Na bado, mali zinaisha na kesho kesho kutwa mzungu kakutema[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo utakapo chekea chooni
 
Sijaona popote wakitaja tarehe fulan,ni sawa na kujitekenya kisha kucheka mwenyewe,wema tu akipiga picha na makonda mange anatoa mapovu,kwann anataka kucontrol watu wote anaona wapo chini yake(ndoton). Hata hatufaham mazungumzo waliyoongea tayar watu wanatokwa povu je tungeyafaham si kungekua na kupoteza fahamu
Si kosa. Japo muhusika kwa sasa anatapatapa kumtoa dada kwenye reli. Yeye atulie tu mbona tunajua hiyo tarehe hakuna chochote anazidi tu kumpa sympathy na kuonekana kweli kawashika pabaya.

Hii ni Tanzania si Kenya tunajijua kabisa vile ni waoga.
 
Hiyo picha amepost ms sepetu saa inaonesha ni 00:34 Usiku mkubwa tuu... yaani hakusubiri hata kukuche...hahaaaaaaa
 
Bila shaka nduguzake watakuwa wamemfungia vioo, hawapokei simu wala kumjibu msgs!
 

Mange anaweza kuwa na unsound mind lakini wew unawajua CIA au unawasikia tu?

Achana na huyo mdudu CIA. Kwani lazima aitwe Langley ili ujue anatumiwa na wao? Kwan lazima wamtumie wao moja kwa moja? Hii dunia achana nayo. Lolote lawezekana
 
Mkuu,
Musiba na Mange hakuna tofauti, wana intellectaul disability.
 
Sasa tuchukulie mfano kwenye hili.

Serikali imempaisha vipi?

Mdogo wake Mange (Anil), kwa sababu zake mwenyewe, kenda muona Makonda. Wengi hufanya hivyo wakidhani biashara zao mjini zitafanikiwa au kutaka kupata msaada fulani wa mkuu wa mkoa.

Kwa kuwa Mange amemtukana sana Makonda, alipoiona ile picha ya mdogo wake pamoja na Makonda akaingiwa na kichaa na kuandika ujumbe huu wa kuanika mambo yao ya ndani ya kifamilia.

Serikali mkono wake upo wapi hapa?

Acheni kutengeneza stori za kumpaisha bosi wenu halafu mnasema serikali ndio inayofanya hivyo.
 
Hakuna haja ya kupingana na ukweli.

Kinachoendelea hapo kinajulikana wala si lazima kutumia darubini kuliona hilo.

Kwa nini yaje kipindi hiki??

Hapa sizungumzii wema ni picha ya Konda na Anil na ndo maana Mange kaamua kuzungumza. All in all ni haki yake maana Ni ndugu yake sisi wengine tunapiga makelele tu.

Ukweli utabaki sahivi Mange anazidi kumsumbua sana jamaa hajui ashike nini sasa hii kiki imebuma atafute nyingine kwa kweli yule bidada hata kama movement yake haitafanikiwa lakini katia jambajamba.
 
Stressed woman!!!!!!!!!! Issue ni kwamba si kwamba anahuzunika dogo kuuza hzo Mali nyingne na kutokupata share zake hzo ni mambo za kwake.issue ni kwamba dogo kuwa karibu na makonda ndio kinachomuumiza zaidi hakuna kingne hapo

Ila usitake wale unaogombana nao wewe ndugu au rafiki wagombane nao pia

Dogo hakutaka kuingilia magomvi ya Dada yake na watu wake huo ndio uanaume halisi dogo kaangalia mbali saana na mishe zake anazofanya town.

Mange ni hopeless kabisa na stressed woman kwahyo wanaomfuata au kumsikiliza nao ni walewale tu

Bila dogo kuwa karibu na makonda msingeyajua Haya

Ndio mjue mange ni mtu visasi sana na hata chochote kichwani kwake
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu,aliyeanza bifu na mwenzie nani kati ya mange na makonda?

Sion kosa hapo maana aliyechokoza nae kachokozwa

Mmeumia ndo vizuri hata makonda aliumizwa sana na mange kwa zile kashfa kipind kile

Picha imezua jambo hahahaha aiseee
 
Mamy andika vizuri tumia neno wameumia hakuna mahali umeona nimeumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu ukweli utabaki Dada kuna watu anawalaza macho mpaka wanaenda kutafuta ndugu wapige picha kiki imebuma.

Kutapatapa kubaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…