Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Kwahiyo ali kiba kapangiwa tarehe ya kufunga ndoa au kapanga mwenyewe?
 
Lakini hiki kitendo cha Mange kupigwa dafrau na Makonda kimewaumiza wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.

Nimesoma comments humu JF na mitandao mingine na ninachokiona kutoka kwa wapenzi wake ni vilio tu kama anavyolia mwenyewe.

Huo ndio ukombati wenyewe.
LIVE BY THE SWORD, DIE BY THE SWORD.

Tofauti ya Mange na mahasimu wake ni kuwa wenzake hustahimili maudhi yake lakini sio yeye. Kumbuka matusi na kashfa alizowamwagia wengi (mfano Le Mutuz, Makonda, na wengineo). Wao walinyamaza tu.

Leo katekenywa kidogo dunia nzima inasikia kilio chake.

Ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, usiwapopoe wenzio kwa mawe.
l
Kashfa gani kwan lemutuz hana kibamiaa kweli??
 
Kwan huoni maadui zake walivyozitumiaa hizo pichaa??
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.
 
Word!upo vizuri mkuu
Lakini hiki kitendo cha Mange kupigwa dafrau na Makonda kimewaumiza wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.

Nimesoma comments humu JF na mitandao mingine na ninachokiona kutoka kwa wapenzi wake ni vilio tu kama anavyolia mwenyewe.

Huo ndio ukombati wenyewe.
LIVE BY THE SWORD, DIE BY THE SWORD.

Tofauti ya Mange na mahasimu wake ni kuwa wenzake hustahimili maudhi yake lakini sio yeye. Kumbuka matusi na kashfa alizowamwagia wengi (mfano Le Mutuz, Makonda, na wengineo). Wao walinyamaza tu.

Leo katekenywa kidogo dunia nzima inasikia kilio chake.

Ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, usiwapopoe wenzio kwa mawe.
 
Mbona umepanic umesema saa ngapi?au sijaiona hio post?
Rudi page za nyuma hahaaahaaa ni panic kwa lipi mamy [emoji23][emoji23][emoji23] Panic button kwangu haipo.
Bidada ni motroooo.
 
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.[/
Hapana there is no morality kwenye politics linapotokeaa unapambana nalo then una move on
 
Misukule hawatakuelewa mkuu. Ukweli upo mbele yao kama asingelalamika kika mtu asingeona umuhimu wa hio picha
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.
 
Motroooo kwa kupanic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makonda tafuta na lance piga nae picha watu tufaid ubuyu(mweee mzungu atachambwaje hadi tutafahamu kama ana kibamia au hogo)
Rudi page za nyuma hahaaahaaa ni panic kwa lipi mamy [emoji23][emoji23][emoji23] Panic button kwangu haipo.
Bidada ni motroooo.
 
Misukule hawatakuelewa mkuu. Ukweli upo mbele yao kama asingelalamika kika mtu asingeona umuhimu wa hio picha
There is no morality when it comes to politics baby.........unapambana then unasepaaa
 
Mange ni kichaa tena kichaa cha mbwa, hivi hana namba za ndugu zake anakuja kusemea huku.du ukiwa mjinga shida sana.
 
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
Mbona unatusemea Waafrika wote, wa wapi wewe? Eti, sisi Waafrika mtoto wa kike blah blah blah...sema kabila lenu hilo msiostaarabika kiasi mnafanya km wanyamapori.

Mwenzio ana tuzo ya mahakama kupata haki yake we unaleta ngonjera za mila kisa umekasirishwa na gwaride LA binti wa Kipare
 
Back
Top Bottom