Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,970
Si jamba jamba kunya kunyaa dearYani hata kama movement yake haitafanikiwa lakini jamaa kapata jambajamba.
Bidada dunia imemjua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si jamba jamba kunya kunyaa dearYani hata kama movement yake haitafanikiwa lakini jamaa kapata jambajamba.
Bidada dunia imemjua.
Kwahiyo ali kiba kapangiwa tarehe ya kufunga ndoa au kapanga mwenyewe?Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa
Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.
Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..
Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
You cannot see sense if you dont have senseNonsense
Sasa atapataje unafikiria mkuu, arudi tu aje adai haki zakeJitoe tu ufahamu
Kabisaaaaa wako watu humu wanajikaza hatariii lakini wanajua kabisa bidada ni moto wa petroli.Si jamba jamba kunya kunyaa dear
lLakini hiki kitendo cha Mange kupigwa dafrau na Makonda kimewaumiza wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Nimesoma comments humu JF na mitandao mingine na ninachokiona kutoka kwa wapenzi wake ni vilio tu kama anavyolia mwenyewe.
Huo ndio ukombati wenyewe.
LIVE BY THE SWORD, DIE BY THE SWORD.
Tofauti ya Mange na mahasimu wake ni kuwa wenzake hustahimili maudhi yake lakini sio yeye. Kumbuka matusi na kashfa alizowamwagia wengi (mfano Le Mutuz, Makonda, na wengineo). Wao walinyamaza tu.
Leo katekenywa kidogo dunia nzima inasikia kilio chake.
Ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, usiwapopoe wenzio kwa mawe.
Yaelekea Mange kawa mdudu was matako kwako mzee baba. Umekasirika, you know?! Unaugua kwa ndani na mwenyewe hujijuiHuyu da'Mange ni limbukeni tu. Hana lolote zaidi ya kupewa bichwa na mazuzu wenzake. Akafie mbele huko.
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.Kwan huoni maadui zake walivyozitumiaa hizo pichaa??
Nasemaje labda mlete ya Bidada akiwa na Makonda hahaaaaaa hizi nyingine ni upuuzi tu
Unhealthy comment....You cannot see sense if you dont have sense
Lakini hiki kitendo cha Mange kupigwa dafrau na Makonda kimewaumiza wengi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Nimesoma comments humu JF na mitandao mingine na ninachokiona kutoka kwa wapenzi wake ni vilio tu kama anavyolia mwenyewe.
Huo ndio ukombati wenyewe.
LIVE BY THE SWORD, DIE BY THE SWORD.
Tofauti ya Mange na mahasimu wake ni kuwa wenzake hustahimili maudhi yake lakini sio yeye. Kumbuka matusi na kashfa alizowamwagia wengi (mfano Le Mutuz, Makonda, na wengineo). Wao walinyamaza tu.
Leo katekenywa kidogo dunia nzima inasikia kilio chake.
Ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, usiwapopoe wenzio kwa mawe.
Rudi page za nyuma hahaaahaaa ni panic kwa lipi mamy [emoji23][emoji23][emoji23] Panic button kwangu haipo.Mbona umepanic umesema saa ngapi?au sijaiona hio post?
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.[/
Hapana there is no morality kwenye politics linapotokeaa unapambana nalo then una move on
Si lengo la kumuumiza limefanikiwa? Lengo la kumfanya aweweseke limefanikiwa? Alipaswa kuweka msiba chumbani kwake huku struggle zikiendelea. Unapoamua kuwa front kwenye issues kama hizi lazima uwe na mbinu na mbavu za kuvumilia mawe kama haya. Angemalizana na familia yake huko private huku nje angepuuza na wala picha zingekuwa maarufu.
Yaaan hadi hurumaaa .....Yaelekea Mange kawa mdudu was matako kwako mzee baba. Umekasirika, you know?! Unaugua kwa ndani na mwenyewe hujijui
Rudi page za nyuma hahaaahaaa ni panic kwa lipi mamy [emoji23][emoji23][emoji23] Panic button kwangu haipo.
Bidada ni motroooo.
There is no morality when it comes to politics baby.........unapambana then unasepaaaMisukule hawatakuelewa mkuu. Ukweli upo mbele yao kama asingelalamika kika mtu asingeona umuhimu wa hio picha
Kichaa anamjuaaa kichaa mwenzieeeMange ni kichaa tena kichaa cha mbwa, hivi hana namba za ndugu zake anakuja kusemea huku.du ukiwa mjinga shida sana.
Mbona unatusemea Waafrika wote, wa wapi wewe? Eti, sisi Waafrika mtoto wa kike blah blah blah...sema kabila lenu hilo msiostaarabika kiasi mnafanya km wanyamapori.Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .