Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Nashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.
 
Itakuwa mange alilalwa/aligegedwa bure pasi na kulipwa hata mia.

Ila tungeacha huu ubuyu wa Mange vs Makonda, For me seriously we should support Makonda for this, Unga unamaliza watu sana, na ndo unatuletea matatizo mengi sana kwenye jamii yetu.

Sharap Makonda P., Sharap JPM(Ila naomba uruhusu uhuru wa vyombo vya habari watu tutiririke)
 
Nimeuliza kipi? .... nataka kujua hicho kikufanyacho uamini hapana ushahidi.
Rudi usome comment yangu uliyo ni quote ikiwa ya kwanza soma paragraph ya mwisho...usipoelewa basi sina jinsi ya kukuelewesha nilichoandika na nimeandika kumjibu aliyeuliza swali kama lako kaelewa na ka like.
 
Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama

Ni tuhuma tu
ndivyo makonda alivyosema mkuu??( wanahusika na madawa ya kulevya..means anaushahidi wa kutosha kuwa wanahusika kwa namna hii ama ile)
 
Kwan kuna nini kinaendelea jman maan mara wema mara makonda
 
Huyo mange anatafuta kick kwa makonda ss muda so mrefu atawekwa ndani wacha aendelee kuropoka ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…