Hadi hapa mjinga amejulikana maana hujajibu bado hoja zangu.Mjinga kama wewe unadhani ni "mpaka" u declare kuwa die hard fan to be one.
Huwezi kuona maana kwa sababu umejielekeza na kuamini hilo neno double agent ni juu juu au pengine ndio mleta mada umekuja na ID yako nyingine .Huelewi concept ya ku read between the lines.
Hujatoa hoja yoyote ya maana inayostahili wala kufaa kujibiwa kwani majibu yako wazi ila unalazimisha kuyapindisha!
Siku hizi risiti yenye QR code ambayo imetunzwa katika kanzidata miaka minne inaweza kuleta mantiki imefutwa baada ya kuletwa public?Risiti? Kuna risiti na ukweli kuhusu risiti yenyewe. Kama kweli ni double agent unadhani CCM hawawezi kumuandalia hizo risiti aje ku post? Hivi huna concept ya theatrics?
Kama hukuweza kuchukulia kwa uzito na kuhoji huoni wewe ndio mwenye upeo mdogo?
Hakuna impression yoyote humu na siitafuti kwa yoyote maana halijawahi kuwa lengo langu humu hivyo sihitaji.Mtu kama wewe either ni impressionable kupita kiasi/mjinga au unalipwa ku peddle hii Mange Kimambi propaganda. There are no 2 ways about it. Halafu kushinda hapa kuja kumtetea is yet another reason to second guess you, kuwa unalipwa.
Hebu eleza huo utetezi unaosema nimeshinda hapa natetea.
Kulipwa? huo ujinga ndio mnajazwa huko kwamba hata walioandamana walilipwa , waliohamasisha maandamano walilipwa mwisho hata kwa ujinga wenu kutopambanua mambo kwa fikra huru mtasema ulisababishwa na kulipwa .
Hakuna chochote ulichofungua hapa zaidi ya kurukaruka tu na kushindwa kujibu hoja zangu mbili kuu.Mimi nakujibu ili kufungua machob ya wa TZ naive wanao maanisha mema.
Yawezakana ndio primary ID yako unaisifia kimkakati mimi sina akili za kubebwa kipuuzi kama unavyofikiri na hii ndio itakua post yangu ya mwisho kukujibu maana sioni kama una uwezo wa kufanya mjadala na mimi kwa post tatu kila ninachokuuliza unakwepa kutoa jibu unafikiri nina muda wa kupoteza kuendeleza mjadala na wewe?Nimefurahi sana kuona m TZ kama Keynez wana scope pana sana ya kufikiri, tofauti na wa TZ wengi. Naiveity ya wa TZ ni kitu ambacho CCM wanaendelea kunifaika nacho mpaka leo 64yrs post independence, which is very PITIFUL!