GE2025 Mange Kimambi anaweza kuwa ni "Double agent" anayewasaidia anaowasema 'vibaya' kila siku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.

Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".

Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.

Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.

Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?

Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.

Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.

Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
 
Yote yanawezekana.....mange na uzalendo wapi na wapi?
 
uzuri watanzania wameamua kujitokeza kupiga kura kama ilivyo ada kwa kila mzaleondo wa nchi
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Karatadi nyingiii unaharibu mazingira unaleta jangwa
 
Kwani Mange hawezi kuwa mtu asiye na umakini wa juu sana tu akafanya mapungufu unayoyaona bila ya kuwa double agent?

Kujiridhisha kwamba ni double agent kunatakiwa kuwe zaidi ya kuona habari zake hazina tija, zina confusion, hazina consistency.

Kwa sababu mtu anaweza kutoa habari ambazo hazina tija, zina confusion, hazina consistency bila ya kuwa double agent.

Mange anaweza hata kuwa muongomuongo anaungaunga stories nyingi, au anadanganywa na watu, lakini hahitaji kuwa double agent ili kuwa muongomuongo au mjinga anayedanganywa.

Mwanasayansi wa Kimarekani Carl Sagan alisema "Extraordinary claims require extraordinary evidence".

Tuhuma ulizozitoa ni kubwa sana wakati ushahidi ulioutoa haujafikia ukubwa wa tuhuma hizo.
 
Mangekimambi anatumika kuwadanganya hao Nyumbu, hapa katikati zilitokea sababu nyingi za kuandamana ila purposely aliwashawishi wasiandamane hadi ifike tarehe 29 huku akijua fika akitaja tarehe itawapa muda upande wa serekali kujipanga kuwadhibiti watz.

Hii huwezi kuielewa kama wewe ni Nyumbu
 
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.

Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".

Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.

Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.

Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?

Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.

Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.

Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
Mavi mabichi kabisa haya, hujaiva kwenye propaganda
 
Mangekimambi anatumika kuwadanganya hao Nyumbu, hapa katikati zilitokea sababu nyingi za kuandamana ila purposely aliwashawishi wasiandamane hadi ifike tarehe 29 huku akijua fika akitaja tarehe itawapa muda upande wa serekali kujipanga kuwadhibiti watz.

Hii huwezi kuielewa kama wewe ni Nyumbu
Hili nalo nililiangalia kwa jicho la tatu nikabaki kuguna....
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
1760016781442.jpg
 
Kwani Mange hawezi kuwa mtu asiye na umakini wa juu sana tu akafanya mapungufu unayoyaona bila ya kuwa double agent?

Kujiridhisha kwamba ni double agent kunatakiwa kuwe zaidi ya kuona habari zake hazina tija, zina confusion, hszina consistency.

Kwa sababu mtu anaweza kutoa habari ambazo hazina tija, zina confusion, hazina consistency bila ya kuwa double agent.

Mange anaweza hata kuwa muobgomuongo anaungaunga stories nyingi, au anadanganywa na watu, lakini hahitaji juwa double agent ili kuwa muongomuongo au mjinga anayedanganywa.

Mwanasayansi wa Kimarekani Carl Sagan alisema "Extraordinary claims require extraordinary evidence".

Tuhuma ulizozitoa ni kubwa sana wakati ushahidi ulioutoa haujafikia ukubwa wa tuhuma hizo.
Kwa muda niliweka asilimia fulani ya doubt katika mitazamo yangu hii nikisema labda uanamke wake unamfanya afanye mambo kwa hisia zaidi kuliko kutumia logic ila hadi naleta post hii, doubt hiyo imefifia mno.

Nimejiridhisha kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa anaweza kuwa anatumika in well calculated and stragetic moves zenye nia nilizotaja hapo juu.
 
Hizi ni hisia, hujaweka ushahidi wa kuzipa uzito hisia hizi.

Again, extraordinary claims require extraordinary evidence.
 
Back
Top Bottom