Hadi hapa mjinga amejulikana maana hujajibu bado hoja zangu.Mjinga kama wewe unadhani ni "mpaka" u declare kuwa die hard fan to be one.
Huwezi kuona maana kwa sababu umejielekeza na kuamini hilo neno double agent ni juu juu au pengine ndio mleta mada umekuja na ID yako nyingine .Huelewi concept ya ku read between the lines.
Hujatoa hoja yoyote ya maana inayostahili wala kufaa kujibiwa kwani majibu yako wazi ila unalazimisha kuyapindisha!
Siku hizi risiti yenye QR code ambayo imetunzwa katika kanzidata miaka minne inaweza kuleta mantiki imefutwa baada ya kuletwa public?Risiti? Kuna risiti na ukweli kuhusu risiti yenyewe. Kama kweli ni double agent unadhani CCM hawawezi kumuandalia hizo risiti aje ku post? Hivi huna concept ya theatrics?
Hakuna impression yoyote humu na siitafuti kwa yoyote maana halijawahi kuwa lengo langu humu hivyo sihitaji.Mtu kama wewe either ni impressionable kupita kiasi/mjinga au unalipwa ku peddle hii Mange Kimambi propaganda. There are no 2 ways about it. Halafu kushinda hapa kuja kumtetea is yet another reason to second guess you, kuwa unalipwa.
Hakuna chochote ulichofungua hapa zaidi ya kurukaruka tu na kushindwa kujibu hoja zangu mbili kuu.Mimi nakujibu ili kufungua machob ya wa TZ naive wanao maanisha mema.
Yawezakana ndio primary ID yako unaisifia kimkakati mimi sina akili za kubebwa kipuuzi kama unavyofikiri na hii ndio itakua post yangu ya mwisho kukujibu maana sioni kama una uwezo wa kufanya mjadala na mimi kwa post tatu kila ninachokuuliza unakwepa kutoa jibu unafikiri nina muda wa kupoteza kuendeleza mjadala na wewe?Nimefurahi sana kuona m TZ kama Keynez wana scope pana sana ya kufikiri, tofauti na wa TZ wengi. Naiveity ya wa TZ ni kitu ambacho CCM wanaendelea kunifaika nacho mpaka leo 64yrs post independence, which is very PITIFUL!
HOJA?? Tafsiri ya hoja unaijua wewe?!Hadi hapa mjinga amejulikana maana hujajibu bado hoja zangu.
Huwezi kuona maana kwa sababu umejielekeza na kuamini hilo neno double agent ni juu juu au pengine ndio mleta mada umekuja na ID yako nyingine .
Siku hizi risiti yenye QR code ambayo imetunzwa katika kanzidata miaka minne inaweza kuleta mantiki imefutwa baada ya kuletwa public?
Kama hukuweza kuchukulia kwa uzito na kuhoji huoni wewe ndio mwenye upeo mdogo?
Hakuna impression yoyote humu na siitafuti kwa yoyote maana halijawahi kuwa lengo langu humu hivyo sihitaji.
Hebu eleza huo utetezi unaosema nimeshinda hapa natetea.
Kulipwa? huo ujinga ndio mnajazwa huko kwamba hata walioandamana walilipwa , waliohamasisha maandamano walilipwa mwisho hata kwa ujinga wenu kutopambanua mambo kwa fikra huru mtasema ulisababishwa na kulipwa .
Hakuna chochote ulichofungua hapa zaidi ya kurukaruka tu na kushindwa kujibu hoja zangu mbili kuu.
Yawezakana ndio primary ID yako unaisifia kimkakati mimi sina akili za kubebwa kipuuzi kama unavyofikiri na hii ndio itakua post yangu ya mwisho kukujibu maana sioni kama una uwezo wa kufanya mjadala na mimi kwa post tatu kila ninachokuuliza unakwepa kutoa jibu unafikiri nina muda wa kupoteza kuendeleza mjadala na wewe?
Taratibu mkuu.Nimetoka kuangalia video mpya ya Mange aliyotoa usiku huu, nimekumbuka uzi huu. Ona kwanza anavyokiri makosa niliyokuwa nimesema alikuwa anayafanya ya kuisaidia CCM.
Ila angalia pia anavyowasafisha polisi.
Yale yale aliyokuwa anafanya Gwajima.
Watanzania mtetezi wenu pekee wa kumuamini yupo gereza la Ukonga. Hawa wengine watawapoteza tu.
Eti anadai polisi na wanajeshi wengi sana walikufa ila hakuna video clip hata moja inayoonyesha hayo. Hakuna video hata moja inayoonyesha mapigano ya pande mbili zikirushiana risasi, zaidi ya upande mmoja kurushia risasi raia wasio na silaha zaidi ya labda mawe. Mnadhani kwa nini anawaletea taarifa hizi?
Tulia vizuri usome kwa umakini uzi huu ikiwemo wachangiaji wengine, utaelewa msingi wa hoja yangu.Taratibu mkuu.
Hoja yako ni kwamba Mange yupo upande wa CCM, na anawasaidia CCM kwa kuhamasisha maandamano ya kuiondoa CCM?
HIi ndio hoja yako?
Yanga pia
Basi kama Mange Kimambi ni double agent wao wamtafutie Mwalimu mwingine wa kuendelea kumnoa maana kinachoonekana anawapoteza badala ya kuwasaidia nadhani pia wanatakiwa kujifunza kwa makosa yaliyofanywa na Mbowe!Nimetoka kuangalia video mpya ya Mange aliyotoa usiku huu, nimekumbuka uzi huu. Ona kwanza anavyokiri makosa niliyokuwa nimesema alikuwa anayafanya ya kuisaidia CCM.
Ila angalia pia anavyowasafisha polisi.
Yale yale aliyokuwa anafanya Gwajima.
Watanzania mtetezi wenu pekee wa kumuamini yupo gereza la Ukonga. Hawa wengine watawapoteza tu.
Eti anadai polisi na wanajeshi wengi sana walikufa ila hakuna video clip hata moja inayoonyesha hayo. Hakuna video hata moja inayoonyesha mapigano ya pande mbili zikirushiana risasi, zaidi ya upande mmoja kurushia risasi raia wasio na silaha zaidi ya labda mawe. Mnadhani kwa nini anawaletea taarifa hizi?
Mbowe kachelewesha sana mageuzi ya kisiasa ya Tanzania. Kuna uzi niliuleta utafute nilisema "historia itamkumbuka kama msaliti wa mageuzi'. Niliyasema hayo zamani kabla hata ya uchaguzi wa CHADEMA watu wakanishambulia, kilichotokea wote mmekiona.Basi kama Mange Kimambi ni double agent wao wamtafutie Mwalimu mwingine wa kuendelea kumnoa maana kinachoonekana anawapoteza badala ya kuwasaidia nadhani pia wanatakiwa kujifunza kwa makosa yaliyofanywa na Mbowe!
Walimpa task ya "kuunda upinzani feki" na kuwahadaa watanzania, badala yake ameunda upinzani wa kweli uliogeuka kuwa imani kwa vijana badala ya chama cha siasa!
Amewajengea vijana confidence na ujasiri wa kutetea kile wanachokiamini halafu yuko zake pembeni anakula mafao "yao"!
Wengi wanamtukana Mbowe, lakini wanasahau kuwa hiki kinachoendelea kina mikono yake pia! Nadhani wamtukane kwa asilimia 25% halafu 75% wampongeze kwa kazi nzuri ya kushindwa kuwa double agent mzuri wa CCM!
La Mange Kimambi tulipe muda kwanzs
Clip?ungeenda kuchukua wewe.unadhani kila sehemu unaweza.kuchukua picha?uwanja wa vita ukachukue. Video unadhani uko kwenye vigodoro?Nimetoka kuangalia video mpya ya Mange aliyotoa usiku huu, nimekumbuka uzi huu. Ona kwanza anavyokiri makosa niliyokuwa nimesema alikuwa anayafanya ya kuisaidia CCM.
Ila angalia pia anavyowasafisha polisi.
Yale yale aliyokuwa anafanya Gwajima.
Watanzania mtetezi wenu pekee wa kumuamini yupo gereza la Ukonga. Hawa wengine watawapoteza tu.
Eti anadai polisi na wanajeshi wengi sana walikufa ila hakuna video clip hata moja inayoonyesha hayo. Hakuna video hata moja inayoonyesha mapigano ya pande mbili zikirushiana risasi, zaidi ya upande mmoja kurushia risasi raia wasio na silaha zaidi ya labda mawe. Mnadhani kwa nini anawaletea taarifa hizi?
Yaani mamia ya video zimesambaa za mauaji ya raia KATIKA UWANJA WA VITA ila hakuna video hata moja inayoonyesha uthibitisho wa hilo alilolisema la polisi au wanajeshi kufa. Hakuna video clip hata moja inayoonyesha majibizano ya risasi kati ya pande mbili. Hakuna hata moja. Kama alivyokuwa anafanya Gwajima, analaumu wakati huo huo anaisafisha polisi na serikali.Clip?ungeenda kuchukua wewe.unadhani kila sehemu unaweza.kuchukua picha?uwanja wa vita ukachukue. Video unadhani uko kwenye vigodoro?