Mange Kimambi asema kumuondoa Magufuli madarakani ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu alikuwa anapendwa sana na watu yaani Watanzania

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi watu wa MUNGU

Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu

Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu

Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia

LONDON BOY
 
Mama mwenyewe sasaa anavyowachungulia
FB_IMG_1726682686311.jpg
👌👌
 
Aman iwe nanyi watu wa MUNGU

Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu

Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu

Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia

LONDON BOY
ushirikina bana dah,

unawapa nguvu sana waliokosa uelekeo 🐒
 
Hiyo ni kweli

Watu wanaoweza kumuondoa rais madarakani ni wamachinga, mama ntilie, boda boda na wakulima

Yaani watu wa hali ya chini.

Magufuli alikuwa mjanja sana kuwa win hao watu wa chini. Ndio maana alikuwa anajiamini sana huwezi kumuondoa madarakani kwa maandamano.

Maana waandamanaji wenye nguvu ni watu wa hali ya chini.

Wamachinga huwezi kuwaambia chochote kuhusu magufuli.

Ndio maana mpaka mama samia na yeye anaogopa kuruhusu wamachinga watimuliwe kariakoo ama sehemu zingine. Hata TRA wanawaogopa wamachinga . Wamachinga Wanaziba bara bara wanavyotaka

Migambo na jiji wote wanaogopa wamachinga.

Wazungu walilijua hilo ndio maana wakashindwa kuleta figisu za maandamano
 
Aman iwe nanyi watu wa MUNGU

Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu

Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu

Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia

LONDON BOY
Razima ukweriii usemwe na bado hajasema!
 
Back
Top Bottom