Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Huyu hata wanawake wenzie hawamuelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TeheeeeeeHiyo ni kweli
Watu wanaoweza kumuondoa rais madarakani ni wamachinga, mama ntilie, boda boda na wakulima
Yaani watu wa hali ya chini.
Magufuli alikuwa mjanja sana kuwa win hao watu wa chini. Ndio maana alikuwa anajiamini sana huwezi kumuondoa madarakani kwa maandamano.
Maana waandamanaji wenye nguvu ni watu wa hali ya chini.
Wamachinga huwezi kuwaambia chochote kuhusu magufuli.
Ndio maana mpaka mama samia na yeye anaogopa kuruhusu wamachinga watimuliwe kariakoo ama sehemu zingine. Hata TRA wanawaogopa wamachinga . Wamachinga Wanaziba bara bara wanavyotaka
Migambo na jiji wote wanaogopa wamachinga.
Wazungu walilijua hilo ndio maana wakashindwa kuleta figisu za maandamano
Na hao ndio wapiga kura wanaomuweka ccm madarakani!Kwani siyo wajinga?
Wakenya ndivo walivokawa wanatuita ktk utawala ule wa jiwe.ila sijajua huu wanatuitaje.Kwahiyo unamanisha watanzania ni wajinga
Jeshi litafanya usafi na matembezi. Msiogope hayo mandege ni mazoezi tu ya kawaida.Hiyo ni kweli
Watu wanaoweza kumuondoa rais madarakani ni wamachinga, mama ntilie, boda boda na wakulima
Yaani watu wa hali ya chini.
Magufuli alikuwa mjanja sana kuwa win hao watu wa chini. Ndio maana alikuwa anajiamini sana huwezi kumuondoa madarakani kwa maandamano.
Maana waandamanaji wenye nguvu ni watu wa hali ya chini.
Wamachinga huwezi kuwaambia chochote kuhusu magufuli.
Ndio maana mpaka mama samia na yeye anaogopa kuruhusu wamachinga watimuliwe kariakoo ama sehemu zingine. Hata TRA wanawaogopa wamachinga . Wamachinga Wanaziba bara bara wanavyotaka
Migambo na jiji wote wanaogopa wamachinga.
Wazungu walilijua hilo ndio maana wakashindwa kuleta figisu za maandamano
Anasema tunajenga SGR Kwa keshi. Du .aliwashika vilaza sanaAlichosema ni Magufuli alifanikiwa hilo kutokana na propaganda alizokuwa anatumia.
Yes hataki anataka za watu wanaojitambuaNa hao ndio wapiga kura wanaomuweka ccm madarakani!
Je chadema hataki kura za wajinga
Malaya mzee huyu anaongea akiwa huko USA sheria inamlinda. Anawachuza vijana wa TZ ya leo hii lakini wanazo akili zao na wanahangaika kutafuta mkate wa kila siku.Aman iwe nanyi watu wa MUNGU
Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu
Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu
Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia
LONDON BOY
Magu alipendwa na wajinga wengi, huyu anapendwa na mafisadi
Malaya mzee huyu anaongea akiwa huko USA sheria inamlinda. Anawachuza vijana wa TZ ya leo hii lakini wanazo akili zao na wanahangaika kutafuta mkate wa kila siku.
Zamani watu walizoe Kusema Kuwa Ujinga Ni Mzigo, lakini kwa Sasa hasa kwa watafuta Madaraka, Ujinga Ni Mtaji. Na huu ndio mtaji ambao umekidumisha Chama hicho pendwa kwenye Madaraka.Na hao ndio wapiga kura wanaomuweka ccm madarakani!
Je chadema hataki kura za wajinga
Kigoma ilianza Kufunguliwa na JK, na JPM akaimarisha na kuongezea zaidi.Tanzania nzima imefunguliwa ndani ya miaka mitatu ya SSH, mkoa wa Kigoma unakwenda kuingizwa kwenye gridi ya taifa mwishoni mwa mwaka huu.
Viwanja vya ndege vinaendelea kujengwa na kumaliziwa. Nchi inafunguka. Huyo dada aendelee kuishi akiwa amekariri TZ ya miaka mitatu au minne iliyopita.
Walitupokonya Shujaa Wetu !Huku Kanda ya Ziwa hatutaki hata kusikia jina lake
Kwa sasa njia ni ile ile tatizo tunaongozwa na chuki dhidi ya uanamke wa Samia na ubaguzi dhidi ya uislam wake.Magu alipendwa na sisi wenye kuona mbali na wenye uzalendo sote alichukiwa na wenye siasa za chuki, wazembe kama nyinyi na mafisadi. JPM ulituonyesha Njia kwamba hakuna lisilowezekana , hata kama kwa sasa tumeicha hiyo Njia. Kazi ulimaliza Shujaa wetu wa Africa. We miss You -RIP
Heri ya sisi ambao tuko Nyuma Yake, Nyie mlioko Bega Kwa Bega ndo wale mnaotaka kumunyanganya Tonge lake. Mnapaswa Kuwa Nyuma Yake kama mnataka kumsaidia mama yetu.niko na mama bega kwa bega jaribuni kumgusa muone fahamu zenu zitawarudi mkiwa wapi
Hao wote wawili ni marais wa CCM wanatekeleza ilani moja ya chama, haitegemewi waje kufanya shughuli tofauti wakati wanatoka chama kimoja.Kigoma ilianza Kufunguliwa na JK, na JPM akaimarisha na kuongezea zaidi.