Anatia huruma sana lakin sisi haturudi nyumaMama mwenyewe sasaa anavyowachunguliaView attachment 3100637👌👌
ushirikina bana dah,Aman iwe nanyi watu wa MUNGU
Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu
Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu
Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia
LONDON BOY
Kwani siyo wajinga?Kwahiyo unamanisha watanzania ni wajinga
SawaDuh ukipigwa mi simo
Razima ukweriii usemwe na bado hajasema!Aman iwe nanyi watu wa MUNGU
Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu
Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais mno endapo tutaunganisha nguvu
Lakin akaenda mbali zaid akasema kumuondoa Magufuri ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia
LONDON BOY
Duuh kwahiyo unataka tukuamini mjinga wewe??Kwani siyo wajinga?
Dah!Magu alipendwa na wajinga wengi, huyu anapendwa na mafisadi
Ni kweli kuwa wajinga nchi hii ni wengi kuliko werevu. Mafisadi ni wachache.Magu alipendwa na wajinga wengi, huyu anapendwa na mafisadi
HIyo ni kutoka mawinguni,au hapa hapa.Mama mwenyewe sasaa anavyowachunguliaView attachment 3100637👌👌
Hujui kusoma hata picha huielewi?Kwahiyo unamanisha watanzania ni wajinga