Mange Kimambi asema kumuondoa Magufuli madarakani ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu alikuwa anapendwa sana na watu yaani Watanzania


Hao 200 ni akina Lukas, USSR na Faiza.
 
Hatuna shida na ujenzi wa miundo mbinu inayoendelea. Na mama anajitahidi kadiri ya Uwezo Wake. Labda eneo moja tu Usimamizi wa Rasilimali za Taifa. Katika eneo hilo Jiwe alikuwa hacheki na mtu na hakujificha kwenye kichaka cha ubinafsishaji na ubia eti unongeza Tija na ufanisi. Hakuna mwekezaji yoyote wa nje anakuja kukusaidia wewe, auankuja kutafuta super profits na hata ikibdi kukunyanaganya kile kidogo ulichokuwa ukipata in the long run, utabakia na mshimo na bare land, huku resources zote zimechotwa. Alitaka win-win situation. . Alizingatia Kiapo chake ipasavyo katika kutetea na kulinda rasilimali za Taifa kwa manufaa ya wote . Hayo mengine umeongezea wewe kunogesha commet yako. Hakuna Chuki yoyote, Rafiki yako mwambie Ukweli hata kama atakuchukia, Siyo Kusifia tu , tunampotosha kwa njia hiyo.
 
of course, kwa yanayoendelea nchini, maza anazidi kuchukiwa na kila mtu. though hana cha kupoteza hata akikosa urais. ameshajiimarisha. too sad.
 
Nakazia, Magufuri alikuwa anapendwa sana na watu yaan raia. Kumbe haka ka dada sometimes kanarudi kwenye sense zake na kuongea ukweli.
 
Kwenye kulinda mali dictetor alijitahidi sn hilo nakubali, lakini alikuwa ni katili na muuaji
 
Nguvu za kiume hamna, mtakuwa nazo za kumuangusha Mama!!! Mushaambiwa hii sio Serikali ya Samaki. Mavi sana nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…