Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Ndio watu walionizunguka nafanyaje hawataki kudiscuss celebs wakibongo
hao uliofallow wa Marekani akina Beyonce, Jannet Jackson et el, kwani siyo macelebs?
Maana umesema uko busy na maisha kuliko kufuatilia ma celebs wakati hapo hapo unadai mkiwa na rafiki zako mnazungumzia akina Jay z, beyonce, n.k...
Hongera lakini sijui hii mentality ya kuhisi ukiwa wafuatilia wasanii wa mbele hasa Marekani hufuatilii wa Tanzania basi wewe unakuwa level ya juu siyo inatokana na nini.
 
This is so practical. Congrats
 
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
hata hao akina Diamond, Alikiba hata shilole wametoka mbali sana kufikia hapo walipo. wengi wameanza from nothing mpaka leo Watanzania wengi wanawafahamu japo tunawachukulia poa ila wana wainspire watanzania walioko chini hata wasanii wadogo utakuta anataka aimbe afike alipo diamond au alikiba kwakuwa akimtazama diamond alikotoka na alipo anahisi kumbe it is possible.
 
Yani ulivowataja hao inaonekana fika unawajua vzuri sana,,,bado kuwaanzishia Uzi humu ni tayari unawafuatilia

Halafu zile thread zako ni za ovyo zaidi ya kumfollow alikiba,,ahsante
Heheheheh imekuchoma thread eee
Ndio Nyie Nyie tunawasaidia
Maisha Ni zaidi ya social media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…