Hizo movie za kutafsiri unazipenda mwenyewe asee sitakagi hata kuziona naanzaje kuangaliasijui una elimu gani lakini analyse ur self maam
NARUDIA!
nDIO Wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!
mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?
time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!
ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!
hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu
sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Hapo sasa ndipo unakosea tena unakosea sana tena sana.kwasababu wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!
mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?
time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!
ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!
hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu
sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Ahahah nimecheka tuHehehe atupe kazi
kachelewa ngosha wangu aliniwahi 21 yrs ago!We unafaa kuolewa na le kokobanga mutu ya watu le king of social media le super mutuz mana swaga zako ni za mbelez kama yeye u know!
habari ndio hioHizo movie za kutafsiri unazipenda mwenyewe asee sitakagi hata kuziona naanzaje kuangalia
if zinalipa kwanini asiuze, ndiyo akili ya wabongo wengi unakuta kafungua duka la Tv kwa mwezi anauza Tv nne wakati kuna mtu pembeni anauza maandazi mazuri na kwa mwezi anauza maelfu ya mandazi na aningiza faida zaidi yake lakini yuko busy anamcheka eti flani bwana ndiye wakuuza maandazi...sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Na mie nimekwambia ya kwangu ya moyoni,au ulitaka niwe mnafiki?.nimesema yangu ya moyoni... vepe kwan kuna mtu kanuna?
vyangu unakijua au?Ni ushamba wako tu kuona chako hakina thamani ..
mmh! kweli ulisomeaga nini chuo kikuu?!if zinalipa kwanini asiuze, ndiyo akili ya wabongo wengi unakuta kafungua duka la Tv kwa mwezi anauza Tv nne wakati kuna mtu pembeni anauza maandazi mazuri na kwa mwezi anauza maelfu ya mandazi na aningiza faida zaidi yake lakini yuko busy anamcheka eti flani bwana ndiye wakuuza maandazi...
Fifty cent anauza majivyangu unakijua au?
bro hunijui sikujui ila nawafahamu sana hao unaowaita celebs wa bongo!
yani Mheshimiwa Raisi ana kazi sana na watz wake.. ndio maana watu wa JF wenye akili walinitag kwenye forums za akili maana wanajua kubishana na mjinga utaonekanaga mjinga tu!
kwa kukusaiidia!
NARUDIA!
nDIO Wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!
mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?
time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!
ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!
hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu
sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
kama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!Fifty cent anauza maji
wewe ndiye nakushangaa najiuliza na kuwasoma hao watu wote unamshangaa diamond kuuza karanga? Hujasikia Tyson na Snoop wanaanzisha kilimo na biashara ya bangi?mmh! kweli ulisomeaga nini chuo kikuu?!
mathematics au language?!
ahahahaha maana nimecheka mpaka mume kaamka!
Yani ndiyo maana ninasema unayoyasoma unakuja yaleta kama yalivyo Tanzania, wewe muandishi wa script tuanzie kwako ulishawahi kulipwa hata milion tano kwa kuandika script hapa tanzania?kama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!
Mondi kitu gani kimemuingizia Trilion 3?!
sawa wewe mwenye nazowewe ndiye nakushangaa najiuliza na kuwasoma hao watu wote unamshangaa diamond kuuza karanga? Hujasikia Tyson na Snoop wanaanzisha kilimo na biashara ya bangi?
Hivi ulishwahi wajiuliza ni packet ngapi ambazo Diamond Karanga zinauzwa kila siku?
Aisee uenda hata una ABCs za biashara na ujasiriamali
Tatizo huelewi unashindanisha nini. Advancement ya hao celebs wa mbele ni integration ya vitu vingi at per. Kuanzia serikalini mpk system zao za elimu. Sasa wewe copy and paste kila kitu cha mtoni uone kama vyote vita apply hukukama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!
Mondi kitu gani kimemuingizia Trilion 3?!
nimelipwa dola 5000 hapa hapa Tz kwa kuandika hadithi ya Story: Fumanizi la ukubwaniYani ndiyo maana ninasema unayoyasoma unakuja yaleta kama yalivyo Tanzania, wewe muandishi wa script tuanzie kwako ulishawahi kulipwa hata milion tano kwa kuandika script hapa tanzania?
my dia things are tougher in America than TzTatizo huelewi unashindanisha nini. Advancement ya hao celebs wa mbele ni integration ya vitu vingi at per. Kuanzia serikalini mpk system zao za elimu. Sasa wewe copy and paste kila kitu cha mtoni uone kama vyote vita apply huku