Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Ndiyo maana nakwambia una compare vitu viwili tofauti... Uchumi wa Marekani na wa Tanzania ni vitu viwili tofauti yani una mcompare Diamond na Jay z huwezi kuwa serious unless uwe na akili za titoo.sawa wewe mwenye nazo
kwahiyo unawafananisha wauza bangi na platnumz sasa?
embu tafuta clean msanii wa nje ya africa na wa Tz wafananishe afu uje tuongee ABCs za biashara!
Mondi angekuwa anauza Bangi ndio ningemshangaa zaidi mondi! ahahahahaha we kweli baadae sana
nimejaribu kubadilisha naona admins hawataki nimeacha kiru!Badilisha basi na tarehe ya kuzaliwa kwenye Profile yako isomeke march badala ya May kama ulivyoelezea
Asa na wewe utalinganishaje soko la muziki la tanzania na la marekani.ni sawa na kulinganisha simba na paka vitu viwili tafauti.na mie nimemalizana na wewe!
NARUDIA!
nDIO Wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!
mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?
time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!
ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!
hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu
sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
nyingi sana... kuliko maelezo!Umepata faida gani baada ya kuto wafollow
kwa utandawazi na policy za nchi kuwa friendly kimuziki tulitakiwa kuwa mbali jombaa!Asa na wewe utalinganishaje soko la muziki la tanzania na la marekani.ni sawa na kulinganisha simba na paka vitu viwili tafauti.
nashukuru kushukuruAsante kwa taarifa [emoji23][emoji23]
haya sasa hizo dollar 5000 waona ni nyingi? Yes Kibongo ni nyingi lakini mbona hujajicompare na waandika script za movie za mbele mafanikio na pesa wanazolipwa wao? mbona unawasema akina shilole na diamond je wewe mbona hujicompare na waandika script wa movie za mbele hizo dollar 5,000 si takataka tu mbele yao..nimelipwa dola 5000 hapa hapa Tz kwa kuandika hadithi ya Story: Fumanizi la ukubwani
we unaniona nakutag tag unadhani me mwenzio nina njaaaa!
iga ufe!
tangu nimeanza kuandika story kwa website yangu sina mwaka!haya sasa hizo dollar 5000 waona ni nyingi? Yes Kibongo ni nyingi lakini mbona hujajicompare na waandika script za movie za mbele mafanikio na pesa wanazolipwa wao? mbona unawasema akina shilole na diamond je wewe mbona hujicompare na waandika script wa movie za mbele hizo dollar 5,000 si takataka tu mbele yao..
Na bado unajiona umewini na kumshangaa shilole. kwa story km hiyo US na ulivo na bidii ya kuwatag watu ungelipwa 50 plusnimelipwa dola 5000 hapa hapa Tz kwa kuandika hadithi ya Story: Fumanizi la ukubwani
we unaniona nakutag tag unadhani me mwenzio nina njaaaa!
iga ufe!
akili finyu ni vizuri uka deal nao!duh pole mwaya,sidhani u expected all this.....
Kwa hiyo baada ya miaka mitatu unahisi utakuwa level za akina Chris Morgan? haya all the best it is not bad to dream .....tangu nimeanza kuandika story kwa website yangu sina mwaka!
nipe mda kama miaka 3 tuje tukae mezani tuanalyse ndio uje unikosoe bro! hehehe
hapa umekutana na Iron smart lady! huniwezi hata kidogo
yah angelipwa zaidi na zaidi yani namshanga ana compare vitu viwili tofauti kabisa na ajabu haoni hilo...Na bado unajiona umewini na kumshangaa shilole. kwa story km hiyo US na ulivo na bidii ya kuwatag watu ungelipwa 50 plus
narudiaKwa hiyo baada ya miaka mitatu unahisi utakuwa level za akina Chris Morgan? haya all the best it is not bad to dream .....
Leo nimekutana na mtu mwenye sifa kama Za Le mutuz sema jinsia ya kike....
2021 nadhani tutakuwa na Script writter anayelipwa bilion Tanzania
kumbe unaongelea utitiri wa vitu, wenzako hao unaowasema hao wa mbele script ya movie moja analipwa ela ya maana zaidi ya Bilion za Kitanzanianaona!
turudi kwako basi tangu umeingia JF ushatengeneza pesa ngapi? au unawatengenezea pesa ngapi?
hio dola 5000 ni sehemu moja tu nimeongea sijaongea mengine.,.. sijaongea script nimeuza WCB sijaongelea Tamthilia ilionunuliwa na DSTV... my braza subiri baadae sana utanitafuta! sasa hivi weka vocha endelea kuwafollow hao ma celeb!