Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

sawa wewe mwenye nazo

kwahiyo unawafananisha wauza bangi na platnumz sasa?

embu tafuta clean msanii wa nje ya africa na wa Tz wafananishe afu uje tuongee ABCs za biashara!

Mondi angekuwa anauza Bangi ndio ningemshangaa zaidi mondi! ahahahahaha we kweli baadae sana
Ndiyo maana nakwambia una compare vitu viwili tofauti... Uchumi wa Marekani na wa Tanzania ni vitu viwili tofauti yani una mcompare Diamond na Jay z huwezi kuwa serious unless uwe na akili za titoo.
wewe mwandishi wa script na sijui hadithi za mapenzi utawsoma akina beyonce hata sijui ufuate njia zao lakini kwa maisha na uchumi wetu hutokaa utengeneza hata robo ya robo ya ela wanayotengeneza na ukiwaiga sana utafail.
 
na mie nimemalizana na wewe!

NARUDIA!

nDIO Wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!

mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?

time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!

ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!

hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu

sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Asa na wewe utalinganishaje soko la muziki la tanzania na la marekani.ni sawa na kulinganisha simba na paka vitu viwili tafauti.
 
Asa na wewe utalinganishaje soko la muziki la tanzania na la marekani.ni sawa na kulinganisha simba na paka vitu viwili tafauti.
kwa utandawazi na policy za nchi kuwa friendly kimuziki tulitakiwa kuwa mbali jombaa!
marekani policies ni tougher than ever regardless of technology!

msisisngizie marekani marekani, haya huyu Diamond mbona amefanya vizuri anachukua ma awards kuliko nchi zingine kwa mara ya kwanza... technology now ipo dunia nzima hamna cha kusingizia
 
nimelipwa dola 5000 hapa hapa Tz kwa kuandika hadithi ya Story: Fumanizi la ukubwani

we unaniona nakutag tag unadhani me mwenzio nina njaaaa!

iga ufe!
haya sasa hizo dollar 5000 waona ni nyingi? Yes Kibongo ni nyingi lakini mbona hujajicompare na waandika script za movie za mbele mafanikio na pesa wanazolipwa wao? mbona unawasema akina shilole na diamond je wewe mbona hujicompare na waandika script wa movie za mbele hizo dollar 5,000 si takataka tu mbele yao..
 
tangu nimeanza kuandika story kwa website yangu sina mwaka!

nipe mda kama miaka 3 tuje tukae mezani tuanalyse ndio uje unikosoe bro! hehehe

hapa umekutana na Iron smart lady! huniwezi hata kidogo
 
duh pole mwaya,sidhani u expected all this.....
akili finyu ni vizuri uka deal nao!

kwao hii ni Paradigm shift wakizoea wanaanza kukuona mungu mtu au celeb!

ndio shida ya wa tz... sheedah Mheshimiwa Raisi ana kazi sio kidogo! vitu vipo obvious watu wanataka kugalagala che!

acheni tunyooshwe tu akili zikikaa sawa watamshukuru 2026
 
tangu nimeanza kuandika story kwa website yangu sina mwaka!

nipe mda kama miaka 3 tuje tukae mezani tuanalyse ndio uje unikosoe bro! hehehe

hapa umekutana na Iron smart lady! huniwezi hata kidogo
Kwa hiyo baada ya miaka mitatu unahisi utakuwa level za akina Chris Morgan? haya all the best it is not bad to dream .....
Leo nimekutana na mtu mwenye sifa kama Za Le mutuz sema jinsia ya kike....
2021 nadhani tutakuwa na Script writter anayelipwa bilion Tanzania
 
narudia

hio dola 5000 ni sehemu moja tu nimeongea sijaongea mengine.,.. sijaongea script nimeuza WCB sijaongelea Tamthilia ilionunuliwa na DSTV... my braza subiri baadae sana utanitafuta! sasa hivi weka vocha endelea kuwafollow hao ma celeb!

turudi kwako basi tangu umeingia JF ushatengeneza pesa ngapi? au unawatengenezea pesa ngapi?
 
naona!

kumbe unaongelea utitiri wa vitu, wenzako hao unaowasema hao wa mbele script ya movie moja analipwa ela ya maana zaidi ya Bilion za Kitanzania
 
Money penny.... Mwenzio anajiita money Monday nani Kati ya ww na huyo anajiita izo money money... Au ndio mtu akianza biashara ya kitumbua na mwingine anaanza pia...

But Safi unajitaidi kujiamini utatoboa... Ila next time acha ushamba
 
Back
Top Bottom