Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Hapo kwa diamond kuuza karanga ndio nimekuona bogus kabisaaa
Aiseee ....
 
Dongo gizani
 
taja 1 tu mupenzi nikuskie
Haka hapa chini!.. Unakumbuka mada zako ulizoleta kuhusu Wolper na ile ya kusaga!?.
 
Mi bongo sijamfollow celebrity yeyote...mi wanangu nao waelewa wa kina 69xine, lil pump, Uzi vert, Kodak black, lil yatchy,21savage and so
 
Cardi lilikuwa li striper hko but now mchek uone alipofika
 
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
wewe uliejifunza kutoka kwao mpaka sasa una nini cha kujivunia hata mbele za watu?
 
asipoelewa basi anye tikiti
 
kama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!

Mondi kitu gani kimemuingizia Trilion 3?!
haaaaa haaaaa haaaaa
trillion 3 hela!!!!?
acha uongo net worth ya 50 cent haifiki hata $ 500 million sasa hiyo trillion 3 aliziingiza mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…