Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Basi tushajua unawafollow watu maarufu wa ughaibuni, nashukuru kwa kutujuza.

Pia tumejua mume wako anaendeshwa hadi ana dereva wa ofisini, twashukuru kwa taarifa
Doh mbona unaongea pumba
Mbona na mie naendeshwa
What's with kuendeshwa anyway?!
 
Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter

Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume

Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat

Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa

Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1

Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow

Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... Dolly Pardon...watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea

Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz

Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu

Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!

Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...

Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny

Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali
Muongo mkubwa wewe , tena watu kama nyie dio wambeya haswa, umetaja watu ata wengine siwajui umejuaje ,mbea yuu wewe ,halafu mshamba vule vile
 
Muongo mkubwa wewe , tena watu kama nyie dio wambeya haswa, umetaja watu ata wengine siwajui umejuaje ,mbea yuu wewe ,halafu mshamba vule vile
Bro vepe umeamka na mawenge au umefumania au umeachwa valentine hii? !

Acha kelele tumelala
 
Kwa hiyo baada ya miaka mitatu unahisi utakuwa level za akina Chris Morgan? haya all the best it is not bad to dream .....
Leo nimekutana na mtu mwenye sifa kama Za Le mutuz sema jinsia ya kike....
2021 nadhani tutakuwa na Script writter anayelipwa bilion Tanzania
Yes I will
 
Back
Top Bottom