tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakandamizaji huwa hawawapi wakandamizwaji haki zao au matakwa yao kwa hiari au bila shurti.Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?
Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?
Mange hajaitisha maandamano, verify vizuri sources zako hasa unapotoa taarifa kwenye platform makini kama JF.
Mkuu wewe ndio ulipaswa kuthibitisha kwa kupitia account za mange.Mange hajaitisha maandamano, verify vizuri sources zako hasa unapotoa taarifa kwenye platform makini kama JF.
Msikilize vizuri. Hajayaitisha yeye hayo maandamano bali anawaunga mkono Gen Z (planners wa hayo maandamano) na anapendekeza maboresho kadhaa!Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?
Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?
Mkuu vijana Tanzania wapo mil 30+. Tukisema katika hao Kuna vijana milion 2 hawaridhiki na hali iliyopo, mtaua vijana wote milioni 2??Ni heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Kuna mtu nimetoka kumuambia kuwa ccm haiwezi kutoka madarakani kwa sanduku la kura au maridhiano. Njia pekee ya ccm kutoka madarakani ni kupitia mapinduziWakandamizaji huwa hawawapi wakandamizwaji haki zao au matakwa yao kwa hiari au bila shurti.
Iko hivyo sehemu zote na wakati wote.
Lazima tuende kwenye maandamano, ila tujiandae bebeni kila aina ya silaha ikiwezekana tuwanyang'anye silaha zao tutumie dhidi yao. Wataendelea kututeka na kutuua. Hatukubali, Tanzania leo tutakuwa na rebel group na hatutaogopa. Liberia ilianza hivi hivi kwa sababu ya upumbavu wa mtu mmoja, Mwishoni tumeona Doe aliondoka, Taylor aliondoka. Tukiendelea hivi hivi, Samia na Abdul wataendelea kututeka mmoja mmoja, kututesa, kutubaka, kutufira, kutupa maiti zetu baharini. Hatuwezi kuuliwa na pyschos. Tupiganie hadi mwisho, la sivyo tutaendelea kuuawa.Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?
Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?
Wanaopaswa kuisha kwenye hii nchi ni watu kama wewe. Tungekua tushafika mbali sana, wapumbavu kama nyie ndo mnaturudisha nyuma sababu ya uchawaNi heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Mange anataka kuwapa ushindi wa mezani watawala..Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?
Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?
Ropoka tuu, sitashangaa ukiishia kuwa victim wa mfumo unaouteteaNi heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Unalaumu wanaotaka kuandamana kupinga utekaji, mauaji na wizi wa kura Ila wauaji na wezi wa kura una wasapoti? Wapumbavu kama wewe sijui mnatokaga wapiSikubaliani na kinachoendelea ila namchukia huyu dada... Nauona ushetani kwenye macho na kauli zake......
Namchukia kwa sababu baada ya hapo anavua dude alilovaa na maisha yanaendelea....
HAYUPO MWANASIASA ATAKAETHIRIKA KWA UJINGA AT THE END.
Sio kwa mauaji yale na tangu lini CCM wakafuata katiba au sheria..ila Maandamano ya AMANI ni takwa la KIkATIBA...walioyaitisha na vyombo vya Usalama wakutane kupata modality nzuri ili kulinda amani..kikubwa kuwe na MABANGO vyenye UJUMBE mbalimbali na hakuna kuharibu mali...nashauri yawe ya siku tatu(03) mfulilizo..NDIO